Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 372
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu kweli mtifuano instagram wapambe wamechachamaa wanajua mpaka ratiba inaendaje
Ruge n muunin wa sarekal tatu kwa vitendo
Wanawake mna utu na dhamani ya asili mliyopewa na Mungu...kwanini wengi wanashindwa kutunza heshima hiyo kubwa?......Alafu washabiki wakubwa wa haya (wachochezi) ni wanawake wenyewe......
Pesa zinapelekea kufanya yote haya......bila kujali vizazi vyenu wakianza watoto wenu watashuhudia haya kupitia mitandao hii hii.......mishipa ya aibu imewakatika enhe?......Don't care enhe?...Haya bana.....endelezeni ujanja ujanja wa mjini ili maisha yasogee lakini UTU ukichakaa umechakaa.....wapo wanawake wengi wa mfano....inawezekana...
Tafuta namna ya kusimama mwenyewe kwa miguu yako na uridhike kuishi kwa jasho lako ili ulinde utu wako......
Mpambano uko instagram.....kila mtu amemuwish baby ruge hbd. Madongo yanarushwa na wahusika huku washabiki wa team zote wakishabikia....ray c amesema he (ruge) will always be mine na zama anajidanganya tu, Zamaradi amesema you are my everything, na mama jordan kasema wana miaka 9 na anamshukuru Mungu kwa kimuumba ruge