Yaliyojiri kwenye Birthday Ya Ruge Mutahaba

Yaliyojiri kwenye Birthday Ya Ruge Mutahaba

Huu kweli mtifuano instagram wapambe wamechachamaa wanajua mpaka ratiba inaendaje
 
Attachments

  • 1399009496207.jpg
    1399009496207.jpg
    78.2 KB · Views: 9,178
Wanawake mna utu na dhamani ya asili mliyopewa na Mungu...kwanini wengi wanashindwa kutunza heshima hiyo kubwa?......Alafu washabiki wakubwa wa haya (wachochezi) ni wanawake wenyewe......

Pesa zinapelekea kufanya yote haya......bila kujali vizazi vyenu wakianza watoto wenu watashuhudia haya kupitia mitandao hii hii.......mishipa ya aibu imewakatika enhe?......Don't care enhe?...Haya bana.....endelezeni ujanja ujanja wa mjini ili maisha yasogee lakini UTU ukichakaa umechakaa.....wapo wanawake wengi wa mfano....inawezekana...

Tafuta namna ya kusimama mwenyewe kwa miguu yako na uridhike kuishi kwa jasho lako ili ulinde utu wako......
 
Kama kuna watu wanatamani ile sheria ya ndoa iliyosainiwa na Uhuru kule Kenya ifike na huku, basi ni mzee Ruge....

Wape haki yao baba...
 
Hawa ndio wanaoishia kuja kuhenyesha wake zao pale wanapooa, kuingia tu kwenye ndoa unaletewa watoto saba! Sasa sijui na wewe uzae wangapi?
 
Ruge noma....ukiona unabanwa wew shuka endelea na mambo yako...na hao ni baadhi tu kuna wengine hawajulikani..
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Wanawake mna utu na dhamani ya asili mliyopewa na Mungu...kwanini wengi wanashindwa kutunza heshima hiyo kubwa?......Alafu washabiki wakubwa wa haya (wachochezi) ni wanawake wenyewe......

Pesa zinapelekea kufanya yote haya......bila kujali vizazi vyenu wakianza watoto wenu watashuhudia haya kupitia mitandao hii hii.......mishipa ya aibu imewakatika enhe?......Don't care enhe?...Haya bana.....endelezeni ujanja ujanja wa mjini ili maisha yasogee lakini UTU ukichakaa umechakaa.....wapo wanawake wengi wa mfano....inawezekana...

Tafuta namna ya kusimama mwenyewe kwa miguu yako na uridhike kuishi kwa jasho lako ili ulinde utu wako......

Umenena vema mkuu
 
Lile tangazo la mchepuko noma kipigwa sana clouds ilikuwa sawa sawia kabisa.
 
Hivi Ruge hana mke wa ndoa? maana anakaribia 45 now. Na hao wa kina Zamaradi jamani hadi aibu duuu!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mpambano uko instagram.....kila mtu amemuwish baby ruge hbd. Madongo yanarushwa na wahusika huku washabiki wa team zote wakishabikia....ray c amesema he (ruge) will always be mine na zama anajidanganya tu, Zamaradi amesema you are my everything, na mama jordan kasema wana miaka 9 na anamshukuru Mungu kwa kimuumba ruge

kwa maelezo yako walao sasa naelewa nn kinaendelea..
 
Rugeeee kumbe ww bingwa? baki njia kuu vinginevyo juhudi zako zoote zitajeuka ningejua.
 
Back
Top Bottom