Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Rukwa na Katavi

Rais wetu huyo.. Mh Tundu Lissu huna mpinzani. Usubiri tu tukusindikize Ikulu.
 
Lisdu hana mpinzani
Nimepigiwa simu na mwananchi aliyekuwa kwenye kampeni za Lissu huko Nkasi Rukwa kwamba kapewa zawadi ya Samaki, akitaka kummaliza lazima amle kila siku kuanzia Leo hadi Oct 28, mwenye picha tafadhali.
 
Nimepigiwa simu na mwananchi aliyekuwa kwenye kampeni za Lissu huko Nkasi Rukwa kwamba kapewa zawadi ya Samaki, akitaka kummaliza lazima amle kila siku kuanzia Leo hadi Oct 28, mwenye picha tafadhali.
Ngoja tufanye mpango
 
Cha muhimu Tundu Lissu aendelee hivohivo kupiga spana....
 
Jamani nisaidieni kunakitu nakiona hawa watu hovyo wenyevyombo vya habari kunamgombea mmoja mchana kutwa kampeni zake zipo live lakini hata ikifika usiku kwenyetaarifa yahabari wanampatena mudawakutosha ilaikifika kwa lisu kwanza mchana sio live na kwenye taarifa yahabari usiku nikukapua tu
Nadhani vyombo vya habari vimeacha kaziyao yakuhabarisha umma wamechukua ushabiki
Natamani waache kabisa mitandao ipo tunaoneshana kwenye mtandao hukumambo safi namorali inapanda tume itoe haki tu nikimbunga mwaka huu
 
Watavuna wanachopanda
 
Kiukweli uhalisia uko hiviView attachment 1573181
Mkuu, naona unapigania kweli kweli UJIRA wa elfu saba yako.
Watanzania, tuungane kumkataa IBILISI CCM kwa nguvu zetu zote. Changamoto zote zinazoikumba nchi yetu kwa sasa, chanzo ni hawa WAHUNI, WATEKA NYARA, Kubambia watu kesi zisizo na dhamana, kutawala kwa MABAVU kwa kuitupilia mbali KATIBA YA WANANCHI, na upuuzi mwingine mwingi tu.
 

Attachments

  • Lumumba Buku 7.jpg
    20.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…