Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaLisu anazidi kuchanja mbuga, nchi lazima ikombolewe toka kwa mkoloni mweusi
Ukweli mtupuRais wetu huyo.. Mh Tundu Lissu huna mpinzani. Usubiri tu tukusindikize Ikulu.
The Greatest Lissu hana mpinzaniMwalim nyerere alipokuwa akiutafuta Uhuru wa nchi yetu alikubali kufata ushauri wa waislam pia lisu anafata ushauri wa waislam namini atakuwa raisi inshaallah
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Nimepigiwa simu na mwananchi aliyekuwa kwenye kampeni za Lissu huko Nkasi Rukwa kwamba kapewa zawadi ya Samaki, akitaka kummaliza lazima amle kila siku kuanzia Leo hadi Oct 28, mwenye picha tafadhali.Lisdu hana mpinzani
Ngoja tufanye mpangoNimepigiwa simu na mwananchi aliyekuwa kwenye kampeni za Lissu huko Nkasi Rukwa kwamba kapewa zawadi ya Samaki, akitaka kummaliza lazima amle kila siku kuanzia Leo hadi Oct 28, mwenye picha tafadhali.
Nimepigiwa simu na mwananchi aliyekuwa kwenye kampeni za Lissu huko Nkasi Rukwa kwamba kapewa zawadi ya Samaki, akitaka kummaliza lazima amle kila siku kuanzia Leo hadi Oct 28, mwenye picha tafadhali.
Niwekeeni picha jamani, nuone Rais mtarajiwa anavyoenziwa na Wananchi wake.Ngoja tufanye mpango
Ewalaaaaaaaa! Oyoooooo!
Cha muhimu Tundu Lissu aendelee hivohivo kupiga spana....Youre right mkuu. Nipo Iringa huku alipopita TAL YAANI WANASEMA WAKURUGENZI WA ELIMU WILAYA WALIWAANDIKA BARUA WALIMU WOTE TOKA VYUO VIKUU MPAKA NURSERY SCHOOL WAHAKIKISHE HAWAFIKI KWA TAL MKUTANONI LAKINI MAJAMAA WALIAMUA KUVAA KININJA WAKAFIKA.
Sasa kuna issue inasukwa kwamba kila mwalimu aeleze wapi amejiandikishia kituo cha kura sijui wanataka wachukue nini.
1. Ukweli ukichukiwa hata ufanyaje watu wanakuwa hawakupendi
2. Jamaaa jpm anabebwa na wasanii tu ngoja mwanaume aingie huko anakopita kubeba watu wakamsikilize.
3. Tayari mikoa ifuatayo ccm hawana kitu ,kilimanjaro,Arusha,Iringa,njombe,mbeya,Songea,sumbawanga,singida,mara,manyara,Mtwara,lindi, bukoba,kigoma.
Ccm mkoa wa kujitumainia
Ni dodoma,Morogoro,mwanza kwasababu ya ukabila, shinyanga,geita, tabora , simiyu.
4. Leo magazeti yote taarifa ya ccm tu na hata tv na mabango lakini watu wamemkataa.
5. Serikalini watu asilimia kubwa ni lissu kwasababu wengi hawana inami na mkuu anyway TUIOMBEE NCHI YETU.
Matumaini ya namna hii yanadhoofisha afya ya mwili.Lissu ndo Raisi wako wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025
Jiandae tu!!
Ni busara tu za uongozi huwezi mkosoa mgeni wako kaja kukutembelea. Pale unamueleza walau upande wa mazuri. Hta siku anakutana na Mbowe alimsifia na wakaombeana ila wakitoka hapo wataitana mabeberu!!!Watanzania watamchagua John Pombe Magufuli kwani hata wapinzani wamekiri yeye ni rais bora
View attachment 1573594
Picha ziko nyingi mno , sasa kuzijaza zote hapa itakuwa vurugu .Picha za Namanyere na Kavuu Mkuu Erythrocyte
Watavuna wanachopandaJamani nisaidieni kunakitu nakiona hawa watu hovyo wenyevyombo vya habari kunamgombea mmoja mchana kutwa kampeni zake zipo live lakini hata ikifika usiku kwenyetaarifa yahabari wanampatena mudawakutosha ilaikifika kwa lisu kwanza mchana sio live na kwenye taarifa yahabari usiku nikukapua tu
Nadhani vyombo vya habari vimeacha kaziyao yakuhabarisha umma wamechukua ushabiki
Natamani waache kabisa mitandao ipo tunaoneshana kwenye mtandao hukumambo safi namorali inapanda tume itoe haki tu nikimbunga mwaka huu
Mkuu, naona unapigania kweli kweli UJIRA wa elfu saba yako.Kiukweli uhalisia uko hiviView attachment 1573181