Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga

MATAGA hayaamini kinachoendelea..
Nimefarijika sana kusikia TAL anaanza kuwakumbusha waTZ wote (yakiwemo MATAGA na maCCM) kuwa kila mTz amepigika kivyake katika miaka hii mitano ya Jiwe. Huu ni ukweli ambao kila mTz anao moyoni mwake hata kama udik hauwaruhusu kuusema. Kwa hivyo hii fursa adimu, hutokea mara moja katika kila vizazi vitano, ya kila mTz kujiunga na jeshi la ukombozi na kuwafurumushia mbali wadhalimu siku ya Oktoba 28.
 
Mkuu video ni mubimu sana manake tuna tuma hadi vijijini huko wazee nao wapate mzuka. Weka video zile ambazo mgombea anatema cheche za sera
 
Lissu ni shidaaaaaaaa,wataiba kura kama kawaida yao ila hazitatosha wataamua kukimbia tu na kutotangaza mshindi.
 
Muwe mnaweka video, hafu msichagajye habari zote sehemu moja kuweni active basi, jifunzeni kwa ccm.
 
Back
Top Bottom