Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga

Hana jipya huyo zaidi ya Kuropoka tu
Uvccm tulitegemea mda huu muwe mshafika kilimanjaro kukabiliana na moto, Sasa huo uzalendo pori wenu ni wa kuimba mapambio na kumsifu meko tu, linapokuja suala linalohitaji uzalendo mnajificha kama mnadaiwa kodi na faza house mzaramo [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa moyo wangu,mungu mjaalie ashinde
 
Naomba Mungu Lisu ashinde jmn.Cjui Magu sura yake ataiweka wapi,baba and roho mbaya yule
 
Mataga kwa kuwa nyie mnajifanya WAZALENDO mshindo basi tokeni Jamii forum ,muende kuzima moto Mlima Kilimanjaro. Uzalendo sio kusifia utopolo bali ni kupigana kwa jasho na damu kuilinda nchi yako! #MtajuaHaumjuiMwakaHuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehehe stress zitakuua mkuu tafuta hela.
MOTOCHINI lissu anaropoka? Hebu jitazame anayesema kuhusu wanawake weupe, mara sijui viwanda elfu nne, mara akibanwa anasema sasa ataajiri, mara ooh anakuwa msaidizi wa malaika, mara sijui kapewa kuku anataka kutoa mama mzazi, mropokaaji ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…