Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu Mkoani Ruvuma

Tupo pamoja na Lissu, tumaini la HAKI kwa Watanzania wengi.
 
Hii [LIVE] kwa sasa imekuwa kama mkaa uliomwagiwa maji na Moderator anaruhusu huku wakijua baada ya hapo hakuna live yoyote, kuna haja ya kuwa na uelewa wa live na updates.
Jikite kwenye mada badala ya kuangalia rangi za maandishi
 
Kwani wewe unaelewa live maana yake ni nini?.Au unataka kusema huyo lisu hayuko uko paliposemwa yuko live.Maana mimi najua hiyo live inamuhusu muhusika anayesemwa kua yuko eneo husika kiualisia.Live ni kitu kinachofanyika,kutendeka au kilichopo eneo hilo kwa wakati huo.Sasa hebu lete nawewe hiyo maana yako tuijue.
Hii [LIVE] kwa sasa imekuwa kama mkaa uliomwagiwa maji na Moderator anaruhusu huku wakijua baada ya hapo hakuna live yoyote, kuna haja ya kuwa na uelewa wa live na updates.
 
kila la kheri katika utalii wako wa ndani mzungu wa ubelgiji

Note: utarudi kama ulivyo kuja
 
Mkuu Nafikiri nia ya jamaa ni tupewe taarifa wakati tukio likiendelea na siyo kutuma taarifa jioni baada ya kazi kwisha! Mnajitaidi lakini tukubali kukoselewa na kuboresha! #NiYeye!
 
Jikite kwenye mada badala ya kuangalia rangi za maandishi
Mkuu huo ndiyo ukweli usikasilike, huwezi kukuta sehemu wameandika girl ukaingia ukakutana na boys NO.

Na watu wa media wanajua ukikutana na neno LIVE basi kitu kiko kwa hewa muda huo not updates au recorded, so Moderator hebu muwe active kusimamia hilo.

☝️
gigabyte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…