Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu Mkoani Ruvuma

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu Mkoani Ruvuma

Nyasa magufuli hata hajafika huko ,
huyu lisu kama vile anajaribu kuteka hisia zangu....🙄🙄
 
Ahsante sana mkuu Erythrocyte umetutendea Haki sisi tuliombali, tunamtakia kila Heri kipenzi cha Watanzania....Hakika Mtu huyu anapendwa sana na Wananchi na hakuna kitakachomzuia kwenda Ikulu, Nia ya kumchagua tunayo na Sababu za kumchagua tunazo....
Kipenzi chako.....
 
Msaliti wa Nchi tayari ana tiketi ya kurudi kwao ubeligiji
 
Back
Top Bottom