Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Simiyu

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Simiyu

Aslimia 90% TUNDU ANDIPAS LISSU AMESHINDA KWA KISHINDO MAJUKWAANI (CHADEMA)

7% inakwenda kwa CUF lipumba
Kwasababu hao wote hawatumii wasanii na wala hawana mabango

3% CCM MAANA KILA KITU WAMEPOKONYA KAMA IGUATAVYO
DRONS
MABANGO
HELCOPTER
RADIO
MAGAZETI
TV
WASANII
POLICE
NEC
NA BADO WANANCHI HAWAWATAKI.

Sasa niombe team ya Lisu sasa wajikite kwenye ushindi huko ndani yaani ccm ndani huko ,vyombo vya ulinzi na usalama na mwisho nec ili mabadiliko wayatakayo wananchi wayapate.
Najua walioshika nchi miaka 50+ sio rahisi kuachia lakini panahitaji sana msuli na lugha moja katika siku hizi chache zilizobakia. A serious and extensively organization
Umesahau 85% CCM itashinda kwa kishindo.

October 28th wewe,yeye,yule na mimi tukampe kura nyingi JPM.

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Majibu ya maswali yetu kutoka kwa mgombea Lissu tutayapata lini! Ni yale maswali tuliyomuuliza kupitia jukwaa hili.
Mkuu huyo ameshakula kona usitegemee majibu.

October 28th kura nyingi kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Nikimbie ili iwe nini? Maneno ya kukariri hayo. Tanzania haitakubali makuwadi wa kigeni kututawala na huyo kuwadi wa Amsterdam na vinyago wenzake.
Meatu

Nchi watu wanachukuliwa kama waandaji haramu wanavyokuwa wanawinda huko pori, leo police wameshindwa kuwasaidia bodboda wasipige nondo yani askari anamwambia dereva bodaboda kwani ikifika saa mbili ukalale hahaaa huku siro utasikia nchi iko shwari ila sasa zungumza vibaya juu wanaccm utafuta na kesi muujumu uchumi.
Vijana tuamke
 
Sasa baaaasiii
 
Ila Lissu ni kiumbe cha aina yake jamani. Sijawahi ona mtu anakubalika hivi. Akifika kwenye mkutano hata kama ulienda kushangaa unaondoka ukijiapiza kumpa kura zote za wewe na ukoo wako wote, kwa madini anayotema.
 
..
Mfano%20wa%20Karatasi%20ya%20Kura_Uchaguzi%20wa%20Rais%2C%202020%20https___t.co_7ilGcPmvMj%20...jpeg
 
Ila jamani watanzania wanataka mabadiliko tuache utani, sema ccm kuiachia upinzani nchi ndo shida yao, kwanza wanalinda mali zao za chama walizozipoka toka serikalini, pili wanalinda maslahi yao. SHIDA NDO HUANZIA HAPO.
Ashinde kwanza halafu tupate sababu ya kupambana nao
 
Back
Top Bottom