Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Simiyu

Umesahau 85% CCM itashinda kwa kishindo.

October 28th wewe,yeye,yule na mimi tukampe kura nyingi JPM.

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Majibu ya maswali yetu kutoka kwa mgombea Lissu tutayapata lini! Ni yale maswali tuliyomuuliza kupitia jukwaa hili.
Mkuu huyo ameshakula kona usitegemee majibu.

October 28th kura nyingi kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Nikimbie ili iwe nini? Maneno ya kukariri hayo. Tanzania haitakubali makuwadi wa kigeni kututawala na huyo kuwadi wa Amsterdam na vinyago wenzake.
Meatu

Your browser is not able to display this video.
 
Nchi watu wanachukuliwa kama waandaji haramu wanavyokuwa wanawinda huko pori, leo police wameshindwa kuwasaidia bodboda wasipige nondo yani askari anamwambia dereva bodaboda kwani ikifika saa mbili ukalale hahaaa huku siro utasikia nchi iko shwari ila sasa zungumza vibaya juu wanaccm utafuta na kesi muujumu uchumi.
Vijana tuamke
 
Sasa baaaasiii
 
Ila Lissu ni kiumbe cha aina yake jamani. Sijawahi ona mtu anakubalika hivi. Akifika kwenye mkutano hata kama ulienda kushangaa unaondoka ukijiapiza kumpa kura zote za wewe na ukoo wako wote, kwa madini anayotema.
 
Ila jamani watanzania wanataka mabadiliko tuache utani, sema ccm kuiachia upinzani nchi ndo shida yao, kwanza wanalinda mali zao za chama walizozipoka toka serikalini, pili wanalinda maslahi yao. SHIDA NDO HUANZIA HAPO.
Ashinde kwanza halafu tupate sababu ya kupambana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…