Hata mwenda wazimu huwezi kumwaminisha kuwa wimbo wa " mwana" ulikuwa bora kuliko " nani kama mama?" wa Bella
Hata mjinga huwezi kumwaminisha kuwa Bella na alivyokuwa juu last year amekosa tuzo.
Hata mjinga huwezi kumwaminisha kuwa Yamotoband walivyokuwa juu na nyimbo kibao eti wa tuzo moja!!
Hata mjinga huwezi kumwaminisha kuwa mchezaji wa ligi ya mchangani ( alikiba)ni mchezaji bora kuliko mchezaji wa timu kubwa Afrika (diamond) ambaye afrika nzima inamuweka katika nominees za msaanii bora afrika nzima wakiwa watano pekee huku na yeye akiwemo
Eti mtu kama huyo..ambaye kila tuzo inayotolewa afrika iwe mtv mama,bet na zinginezo lazima wamweke kwenye kipengele cha msanii bora wa kiume afrika...etikwa nchi maandazi tanzania kuna kibaka ambaye hata dimpozi na sheta wanafahamika afrika kuliko yeye..eti ndo bora!! ovyoooooooo....
Na ka style hii ya vibovu kuonekana bora usishangae Lowasa ndo akawa raisi...kwa sababu hii nchi naona ovyoo tu na haina mbele wa nyuma!!
Ovyoooooooooo!!!!