Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika zilikuwa za hovyoooo!
- eti mtumbuizaji bora wa mwaka ni ali kiba??
wala si mwehu ila ni agent wa lucifer
Hata mwenda wazimu huwezi kumwaminisha kuwa wimbo wa " mwana" ulikuwa bora kuliko " nani kama mama?" wa Bella
Hata mjinga huwezi kumwaminisha kuwa Bella na alivyokuwa juu last year amekosa tuzo.
Hata mjinga huwezi kumwaminisha kuwa Yamotoband walivyokuwa juu na nyimbo kibao eti wa tuzo moja!!
Hata mjinga huwezi kumwaminisha kuwa mchezaji wa ligi ya mchangani ( alikiba)ni mchezaji bora kuliko mchezaji wa timu kubwa Afrika (diamond) ambaye afrika nzima inamuweka katika nominees za msaanii bora afrika nzima wakiwa watano pekee huku na yeye akiwemo
Eti mtu kama huyo..ambaye kila tuzo inayotolewa afrika iwe mtv mama,bet na zinginezo lazima wamweke kwenye kipengele cha msanii bora wa kiume afrika...etikwa nchi maandazi tanzania kuna kibaka ambaye hata dimpozi na sheta wanafahamika afrika kuliko yeye..eti ndo bora!! ovyoooooooo....
Na ka style hii ya vibovu kuonekana bora usishangae Lowasa ndo akawa raisi...kwa sababu hii nchi naona ovyoo tu na haina mbele wa nyuma!!
Ovyoooooooooo!!!!
...hii nchi masaburi yanaheshimika sana maana wafanya maamuzi wengi huyatumia kufikiri, mifano ipo hai kama ulivyoainisha , bunge la katiba n.k.....
Kwa taarifa yako zimepata mshiko, mwakani pigeni kura sio kutambia mashabiki wenu ohhh mtalamba malimao sijui ukwaju. Nadhani mmeshajifunza. Halafu mwambieni msanii wenu atoe nyimbo chache lakin zinaZohiti