Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015


iyo ni chuki yako binafsi kwake,unampenda ali kiba and thats it.
 
Wewe mleta mada ulimsikia akisema na maneno yake au aliandikwa nawe ukakimbilia kusema ndio amaeyasema.

Kweli Diamond akiyekolea kwenye mapenzi na Zari ndio aanze kuhangaika na Jokate wa enzi za zamani.

Tafuta sababu ingine ya kumchukia, khaaaaa.

Pigeni kura sasa tupo kimataifa


********

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/


Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
 
Mashabiki wa Diamond leo kwao ni vilio hahahhaha wapi sankoro, wapi kama Ronaldo
 

Asante mkuu, umemaliza yote.
 

Nakuhakikishia hapati! Mshauri afute kauli na ajutie! Hawezi kumdhalilisha mwanamke ambaye sisi tulimthamini kupita kiasi! Katembea na wengine zaidi ya Diamond na ana haki ya kuhifadhiwa siri zake!
 
Alistahili, THE RETURN OF KING KIBA imeleta maana sasa.

Nilikua najiandaa kumpigia kura Dai
Ila no nimebadri maamuzi
Kwasabbu yeye na mkewe akili zao sawa na miguu ya Kuku

Nitavote 4sautisol√√√
 

Attachments

  • 1434278299089.jpg
    37.8 KB · Views: 190
daa! angekuwa kwa jamaa wa ISIL, alshaabab, ALQAIDA, bokoharam, na taliban Aisee huyo dem hana kichwaa saizi!
 
Nakuhakikishia hapati! Mshauri afute kauli na ajutie! Hawezi kumdhalilisha mwanamke ambaye sisi tulimthamini kupita kiasi! Katembea na wengine zaidi ya Diamond na ana haki ya kuhifadhiwa siri zake!

Afute kauli aliisema lini, muda gani, wapi?

Mwacheni kumsingizia mtotobwa Tandale kila kukicha.
 

mkuu umebwqbwaja pumba, hizo tuzo zenyewe sio watanzania waluopiga kura ni team za watu flan hivi zillizowaruka kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…