Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Nilisema mjiandae kwa dhoruba kali ndio tumerudi hivyo, yametimia.
Halafu sioni mantiki ya kuweka tuzo zote kwa ujumla ilhali kipindi diamond anakusanya tuzo zote hizo Ali Kiba alijipa likizo ya muziki.
Sasa karudi tuwapambanishe kwa wakati huu.

Kwa sasaivi ni 5 kwa 2
 

Tumchukie kwa kipi haswa?!! Km mtu kakosa kakosa tu,tuonane mwakani huko huko kwenye mtv. Na huyo Moseiyobo akiacha kuwa nae juu ya jukwaa,sijui braza analipi jipya.
 
Nyinyi mnao sema jamaa anadharau tuzo hakuomba za nyumban hii nn
 

Attachments

  • 1434282377587.jpg
    42.4 KB · Views: 262
Huku nchi za wenzetu wako tofauti Sana,

Kama wa-south wanasuport Sana watu wao, na ukiwauliza wana kwambia wa-tz wako vizuri kwny entertainment hasa big-brothers huwa wanafanya vizuri...
so its quietly different from hapo kwetu tz

nyie nao na huu msemo wa"huko kwa wenzetu" mnaboa sana shenzy taip.. cheki na kingereza chako cha huko kwa wenzetu.. mnalala na makaratasi kudadadensa
 
Nani kama mama wa Christian Bella ft Ommy d. hakuna ubishi hizo kura za wenye simu na kompyuta ziachani hivyo hivyo.
 

Yaani darasanai rudi kwanza wewe na chuki zako. Na bado,mpaka mywe sumu kama sio kulamba ndimu.
 
mashabiki wa ali kiba kumbe si kwamba ni mashabiki wa kumkubali yeye kama yeye. bali ni mashabiki wanaosukumwa na hatting kwa diamond. poor people

Kwa kifupi domo hana mashabiki wengi wenye sound mind kihiivyo...asilimia kubwa ni mateja wa tandale ambao kura hawapigi zaidi ya ushabiki mbuzi....kati ya hao wachache walio na sound mind (ambao ndio wenye uwezo Wa kuvote) asilimia kubwa ni haters Wa wema ndo maana dayamondi akiwa kinyume na wema lazima ashuke tuuu coz haters Wa wema si wengi km supporters Wa wema.
 
Una chuki za wazi
Kwa taarifa yako cheketua video tayari kitambo tu

Subiri ianze kupigwa

Note; andaa comment za kuiponda hyo video

Tatizo hao wenzetu ni wazee wa breaking news hata mtu wao akijamba wanataka watangaze ila ukiwaambia kutekeleza yawapasayo workdone is equal to negative! Eti kisa chibu ana tuzo mpaka za BET basi yeye ndo mbora zaidi ya Kiba.....hata kama amechemka wanataka aendelee kusifiwa tu! So funny!!!

Na hao wanaosemaga Kiba hana hela ya kufanyia video mimi ndo hunichekesha zaidi na sometimes huwa najisemea tu ...let them say, pengine hakuwa na maneno mengine ya kucomment kwa wakati huo!
 
Wanaombeza Diamond Ujumbe wao ni huu hapa "huwezi zuia mafuriko kwa Mkono"! Ujumbe kwa Kiba "Tunataka tuone talent yake within and outside East Africa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…