Nilisema mjiandae kwa dhoruba kali ndio tumerudi hivyo, yametimia.
Halafu sioni mantiki ya kuweka tuzo zote kwa ujumla ilhali kipindi diamond anakusanya tuzo zote hizo Ali Kiba alijipa likizo ya muziki.
Sasa karudi tuwapambanishe kwa wakati huu.
Diamond hivi karibuni alitoa kauli kuwa "Ali Kiba anakula makombo yake" akimaanisha uhusiano wa Ali Kiba na Jokate Mwegelo eti Jokate ni makombo ya Diamond!
Hilo ni tusi na alipaswa kuomba radhi na kuonyesha kujutia kauli yake hiyo! Hivi mtu na akili yake timamu tena kioo cha jamii kwenye nchi ya maadili unatoa kauli kama hiyo?
Hamuwezi amini lakini hata hizo tuzo mbili ilikuwa ni kumhurumia tu kwani hakustahili! Ni lazima afunzwe adabu!
Tukianza kutoa lugha chafu kama hizo hatujengani kisanii! Jokate naye ni msanii na hapaswi kudhalilishwa na mwanaume kisa eti alimpa penzi!
Hapana huyu ni lazima ajirudi na ajuwe kuwa yeye ni kioo cha kujenga jamii na siyo kuibomoa! Nadhani hilo ni onyo kali kwake!
Kigezo kikuu cha Kushinda KTMA ni wingi wa kura, je wewe ulipiga kura kuziwezesha hizo nyimbo zako uzipendazo kushinda Tuzo?
Ni kweli kabisa mdomo wake ndo umemponza
eti ni kweli DIAMOND alisema hamna hotel ya yeye kulala MBEYA kwa hadhi yake????
Hivi kumbe hizi timu ni very serious..
Okay I see. Kumbe hivi ndio vilikuwa vigezo vya kumpata mtunzi bora, mtumbuizaji bora na wimbo bora tuzo za KTMA? Death of bongo fleva.
Huielewi Mwana?
We utakua una masikio ya nyoka
Absolutely right. ..ligi ianzie hapo.
atakuwa pia ana kichwa cha panzi
Mmeona tamko la KTMA Facebook
Mmmmmmh hizo tunzo kichefuchefu mno! Ally kiba hakustahili kabebwa sana! Wimbo mmoja categories zote? Nasseb yuko juu sana
Acha ushamba wewe,hata startimes ipo hiyo.
Kwani huyo diamond alikua na nyimbo gani za maana za kushindana na Mwana?
Hivi mdogo mdogo nao ni wimbo wa kusema ni wimbo bora? Afadhali nitampata wapi video yake imetulia.
nyie nao na huu msemo wa"huko kwa wenzetu" mnaboa sana shenzy taip.. cheki na kingereza chako cha huko kwa wenzetu.. mnalala na makaratasi kudadadensa