Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Nyie mlivyochakachua tuzo za watu, leo tucheze fair itapendeza

Na nyie mlichakachua kili za mwaka jana mwaka huu kila mtu atachukua chake aisee, na channel o mlimuibia davido ila nyie.mmetuzidi kwa wizi
 
wadau kwa yeyote anaeshuhudia update za tuzo za kili atupe update wengine tupo kenya tunashindwa kupata access
Utakosaje access na wewe upo taifa kubwa?
Waache vifaranga na mambo yao, angalia tuzo za wajaluo.
 
Fetty kapendeza sio mbaya...ila sijapenda Zembwela kuwa MC.
Natamani Mpoki angekuwepo nicheke!
 
Naona Zembelewa ndio Mc wa shughuli ya leo.
 
ha ha ha ha ha... Deo Corleone ! Huyo dada anapuliza moto
 
Last edited by a moderator:
DJ fetty akivaa kama mwanamke huwa anapendeza saana huyu dada...
 
Mc's ni fetty wa clouds tv na zembwela wa eatv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…