Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Washamwagana tangu wiki jana dogo anakashifa ya kutotia mimba simui kama kunaukweli zari kasema ile mimba siyo ya dogo ni ya yule mshikji wa zamani.heee acha bwana,kwani wamemwagana na zari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washamwagana tangu wiki jana dogo anakashifa ya kutotia mimba simui kama kunaukweli zari kasema ile mimba siyo ya dogo ni ya yule mshikji wa zamani.heee acha bwana,kwani wamemwagana na zari?
Hahahaha sasa tunaenda sawaa namuona mtt mzuri Rubby na sauti yke hatari sana
Nyie mlivyochakachua tuzo za watu, leo tucheze fair itapendeza
Utakosaje access na wewe upo taifa kubwa?wadau kwa yeyote anaeshuhudia update za tuzo za kili atupe update wengine tupo kenya tunashindwa kupata access
Mkuu hata mie simjui hata hawa washikaji wanaodansi jukwaani sijui ni kundi gani..
ITV wana mambo ya msingi ya kuripoti.
Clous media na Azam Tv ndiyo level za kuwa platform ya hayo maigizo ya KTMA.
ITV wana mambo ya msingi ya kuripoti.
Clous media na Azam Tv ndiyo level za kuwa platform ya hayo maigizo ya KTMA.
Naona Zembelewa ndio Mc wa shughuli ya leo.
Huyu Dada anayeimba sasa hv ni nani wadau..ana sauti nzuri!