Kwa jinsi nilivyofuatilia ili bifu naona kabisa kiba na wasanii wengine ndio wanatengeneza mabifu ila Chibu yuko kimya na kama unabisha msikie dudu baya apa nn alosema
Watch "Dudubaya kuhusu Wasanii wa bongo wanaotembea na bodyguards, Ali Kiba na Diamond, kulogana na mengine" on YouTube -
Nitoe mawazo yangu. Mimi sina timu sio Kiba wala Diamond ila sioni ajabu yoyote Kiba kuchukua hizo tuzo alizochukua na Diamond kuchukua hizo alizochukua.
Tunatakiwa kuwa objective and fair kwenye kuchambua haya mambo na kuacha ushabiki usiosaidia upande wowote. Miaka miwili iliyopita Diamond alikuwa juu kwenye hizi tuzo na alitisha sana tu hilo halina ubishi. Diamond kaenda next level kwenye mafanikio na kuendelea kuchukua tuzo za kimataifa which is good kwake yeye binafsi na muziki wa Tanzania. Kwa maana hiyo sioni tatizo kwa Diamond kupata tuzo chache mwaka huu.
Kuhusu Kiba kuchukua tuzo nyingi mwaka huu kuna mambo mawili, moja Kiba ni mzuri na ame-advance kwenye muziki wake au baadhi ya washabiki wameamua kumpigia kura nyingi ili kumporomosha Diamond hasa hasa ninapofuatilia haya mambo ya timu fulani.
My take tukuze muziki wa Tanzania tuache kudondoshana hoja za kuwa Diamond anaringa au ana dharau au sijui kaachana na nani sio hoja za msingi. Hii tabia ya watanzania kutokutaka kuona mtu anakua na mafanikio na kuweza kuishi maisha yake binafsi ni mbaya na inaturudisha nyuma. We need to be fair watanzania tuna wivu na roho za chuki ambazo hazitusaidiii. Soon Kiba atakuwa na mafanikio halafu litaibuka tena kundi la kumponda ili kumshusha.
Kama mlioona ama kuwepo tuzo za Kili, kuna aibu ya mwaka. Yani huhitaji kumjuza kila mtu kazigako kujiuza, huyu si mwingine ni aliyekuwa mzazi mwenziye Hon Mbilinyi aliweza kuacha makalio wazi. Kana kwamba yuko City Market akijinadi.
Mungu huyu ni matokeo ya binadamu kutaka ajibu mepesi kwa maswali wasiyo na majibu yake. Hakuna ushahidi wa kuwepo huyu mungu anayesemwa na wengi kuwapo.