Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
nifah nenda kule IG umsake mtu anaitwa ulingoni anatema cheche kwa Wema balaa,yaan full kuvurugwa!
Ndo nani huyo ngoja nika mfollow staki kupitwa.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nifah nenda kule IG umsake mtu anaitwa ulingoni anatema cheche kwa Wema balaa,yaan full kuvurugwa!
Hata hili kuna watu watalaumu ccm ..
waache ziumane
Asante dear, nitamcheki.
Team kiba huu ndo msimu wetu bhanaaaaaaa
Ukishamcheck uniletee yaliyomo! lol
Huyo ulingoni ana mchamba Wema eti ana roho mbaya kwa vile diamond kamuacha roho inamuuma. Ndo ana influence eti watu wasimpigie dai.
In short hana jipya huyo anaongelea uzalendo na kura.
huu pamoja na mingine mingi ifuatayo.
Eti ni kweli mnataka mhogo wa mondi?? tchaaaa
Leo nacheka tu mie
Heaven on Earth unamuona nikk wa pili
Ukitaka kuangalia hizi Tuzo ni fake
Check watu kama Barnaba na Bella wameshindwa
Kupewa Tuzo. .mimi nilivyoona tu haya
Basi moja Kwa moja nimeamka na kuamua kuto support hizi Tuzo za kupeana bila vigezo
Sasa bella nyimbo na utunzi bora stage performance hatari still mmemnyima. .Barnaba can sing play instruments still mmemnyima. .
Mfumo ulitumika hauangalii ubora wa msanii wala uwezo wake check BET mfano wao wanatumia majaji kama 500 kama mnakumbuka vanessa mdee alikuwa mmoja wao mwaka jana hvi ndio huwa wanachambua nani anastahili. kwa international awards huwa kuna majaji na kuna kitu inaitwa country votes inaangaliwa umepata kura kutoka kitika nchi ngap afu kila nchi idadi fulani ya kura inakuwa point moja(ndio maana tuliwashinda wanaigeria BBA na Chanel 0 mwaka jana wangekuwa wanahesabu kura hakuna hata mtu mmoja kutoka nje ya nigeria angekuja kushinda hzo Tuzo), lakini pia huwa wanakitengo kinaitwa viewers choice award ambacho hicho ndo mashabiki huwa wanachagua. Kwa Tanzania inaonekana vyote huwa wanachagua mashabiki and let face it mwaka huu ilikuwa (jokate+wema+alikiba) ilikuwa lazima ushindi tu. Ukitumia mantiki ya kura maana yake hata leo hii ukileta Ronaldo VS Ngasa kwa Tanzania hii ngasa atashinda coz ana fanbase kubwa bongo ila sio kwamba yeye ni bora.