Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Ukishamcheck uniletee yaliyomo! lol

Huyo ulingoni ana mchamba Wema eti ana roho mbaya kwa vile diamond kamuacha roho inamuuma. Ndo ana influence eti watu wasimpigie dai.
In short hana jipya huyo anaongelea uzalendo na kura.
 
ohh kumbe!
Hao watafuta followers tu halafu wakishafikisha 10K wanaanza kuzifanyia biashara ya matangazo,
Teh! Teh! mambo ya fursa hayooo
 
Ukitaka kuangalia hizi Tuzo ni fake
Check watu kama Barnaba na Bella wameshindwa
Kupewa Tuzo. .mimi nilivyoona tu haya
Basi moja Kwa moja nimeamka na kuamua kuto support hizi Tuzo za kupeana bila vigezo
Sasa bella nyimbo na utunzi bora stage performance hatari still mmemnyima. .Barnaba can sing play instruments still mmemnyima. .
 
Sasa wewe ulikuwa wapi kupiga kura?
 
Mfumo ulitumika hauangalii ubora wa msanii wala uwezo wake check BET mfano wao wanatumia majaji kama 500 kama mnakumbuka vanessa mdee alikuwa mmoja wao mwaka jana hvi ndio huwa wanachambua nani anastahili. kwa international awards huwa kuna majaji na kuna kitu inaitwa country votes inaangaliwa umepata kura kutoka kitika nchi ngap afu kila nchi idadi fulani ya kura inakuwa point moja(ndio maana tuliwashinda wanaigeria BBA na Chanel 0 mwaka jana wangekuwa wanahesabu kura hakuna hata mtu mmoja kutoka nje ya nigeria angekuja kushinda hzo Tuzo), lakini pia huwa wanakitengo kinaitwa viewers choice award ambacho hicho ndo mashabiki huwa wanachagua. Kwa Tanzania inaonekana vyote huwa wanachagua mashabiki and let face it mwaka huu ilikuwa (jokate+wema+alikiba) ilikuwa lazima ushindi tu. Ukitumia mantiki ya kura maana yake hata leo hii ukileta Ronaldo VS Ngasa kwa Tanzania hii ngasa atashinda coz ana fanbase kubwa bongo ila sio kwamba yeye ni bora.
 
Acha kupotosha vanessa hakua jaji BET bali ni mwana academy majiji 500? Uongo mwingine hata afya hauna
 
Mfumo ulitumika hauangalii ubora wa msanii wala uwezo wake check BET mfano wao wanatumia majaji kama 500 kama mnakumbuka vanessa mdee alikuwa mmoja wao mwaka jana hvi ndio huwa wanachambua nani anastahili. kwa international awards huwa kuna majaji na kuna kitu inaitwa country votes inaangaliwa umepata kura kutoka kitika nchi ngap afu kila nchi idadi fulani ya kura inakuwa point moja(ndio maana tuliwashinda wanaigeria BBA na Chanel 0 mwaka jana wangekuwa wanahesabu kura hakuna hata mtu mmoja kutoka nje ya nigeria angekuja kushinda hzo Tuzo), lakini pia huwa wanakitengo kinaitwa viewers choice award ambacho hicho ndo mashabiki huwa wanachagua. Kwa Tanzania inaonekana vyote huwa wanachagua mashabiki and let face it mwaka huu ilikuwa (jokate+wema+alikiba) ilikuwa lazima ushindi tu. Ukitumia mantiki ya kura maana yake hata leo hii ukileta Ronaldo VS Ngasa kwa Tanzania hii ngasa atashinda coz ana fanbase kubwa bongo ila sio kwamba yeye ni bora.

Sasa tatizo lako hasa ni nini? Wewe ulitaka nani ashinde tuzo? Na kwa nini?
Na kama vigezo ni hivyo ulivyovitaja nn hasa shauku yako ya kutaka nani awe bora kwa matarajio na matamanio yako?
Ifike mahali tuwe tunakubaliana na matokeo na kujifunza kutokana na makosa.
Washindi walishapatikana na you cant do anything abt that, cha msingi next time study the criteria, follow the criteria and your priority musician will win the awards.
Kwa vigezo vya KTMA ilikuwa ni wingi wa kura, sasa hapo huwezi kulazimisha vigezo vya Awards nyingine vitumike.
Ndio maana wengi hu feli hata exams coz hawafuati maelekezo. Wewe umeambiwa "Piga kura mara nyingi zaidi kumuwezesha Mwanamuziki umpendaye ashinde tuzo" wewe hupigi kura badala yake unaleta vigezo ambavyo havipo, sasa utashindaje?
 
Back
Top Bottom