Haya basiiiiii.Jimwageni uwanja wenu....
Queen darleen ni mjamzito au kitambi mchuchumio tu?
anastahki daimond hapa kwenye shooting tuweke ushabiki pembeni
ila tell darlin avae viatu mwambieni
Alikiba na Diamond wameogopana wote hawajatokea teh teh
Haya basiiiiii.Jimwageni uwanja wenu....
Hahaha basi hongera zake
Heheheheh.... hebu nletee gazeti nijipepeee......Shikamoo hommie yake
Una uhakika unachokinena?Babu sina namba niliibiwa kamchina kangu
Ni wozap wewe basi