Huyu MC wa kiume haburudishi!
Hii tunzo ya mtunzi bora wa hip hop sio kweli kabisa..yani John makini hana uwezo wa kumzidi Fid q
Joh makini.........
Arusha behind youuuuuuuuuu
Thanks manpole., kwa FID Q. I TOLD U.
Ana ngoma 1 tu, Joh katoa hits kibao
Hii tunzo ya mtunzi bora wa hip hop sio kweli kabisa..yani John makini hana uwezo wa kumzidi Fid q
zembwela wa uswazi.
Joh Makini last year kapiga kazi, wacha wampe. Wampe pia tuzo ya msanii bora wa Hiphop, nilimpigia kura na pale
hapana vanessa kavuruunda,
yaani Bongo sijui tutafikia lini kuimba live,
kama umefuatilia vizuri back vocal na alichokua anaimba vilikua vinaachana,
Kuimba na kucheza si mchezo ni Bey tu wa Jigga ndo tumwachie,
Huyu dogo mbona kama kalewa vile
Ana ngoma 1 tu, Joh katoa hits kibao
Teh teh teh unaendelea kushindwa tu.. Bado Lowassa sasa
Yah Joh hz working harda bro. He deserve the award. Ndio msanii wa hip hop anayepiga show nyingi sana