Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Tusifanye kwa mazoea jamani, Fid Q mwakajana ana nyimbo gani zaidi ya Bongo Hiphop?
Ben Paul?
Dah! Fid Q wamemtosa!
Hahah namuonea uruma sana le nifah kila sehem maumivu
ITV ni Mbwaaaaa mnakata kata ya kazi gani
Nani kama mama is the best, ilistahili bt no way out, matokeo yashatoka n we have to respect...
Hawajiamini wanaogopana kukutana ukumbini yaani ovyooo kabisaHizi team u.pu.pu zitawaua wabongo,
ushabiki wa kinafki na uliopitiliza sio mzuri,
KTMA 2015 imenikeera yaani kila tuzo watu wanachukuliana tu,
AAARRRRRRRRRRRRRRGGGGGGGHHHHHHHHHH
Anapiga show nyingi lakini si mtunzi bora wa hip hop hata siku moja!
Hivi hawa ma stage show wanaocheza Sofia na mpira imekaaje jamani???sijaelewa
Hizi team u.pu.pu zitawaua wabongo,