Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Tusilalamike bila kupiga kura..
Kuna timu ilijipanga kuonyesha inataka kitu lakini kuna watu hawampendi diamond kwa kuwa tu amefanikiwa...
Wengi wao ni wachawi hao.
Big up kiba,Mzee Yusuph,Diamond na wengine.
Pole Jide,Belle na Bella.
Support muziki mzuri,Tanzania tufike mbali.
"Nlikuwepo":bolt:
ni ujuha kutoa tuzo kwa kura tu,narudia ni uboya.yaani tuseme video bora iwe salima_linex over ntampata wapi kisa kura.so ashamed sometimes of being black...low minded people.anyways nadhani msanii anashuka mwenyewe kama kiba alivyoshuka mwenyewe "hii ya kulazimishwa kushushwa ni ushoga grade a+".tusilalamike bila kupiga kura..
Kuna timu ilijipanga kuonyesha inataka kitu lakini kuna watu hawampendi diamond kwa kuwa tu amefanikiwa...
Wengi wao ni wachawi hao.
Big up kiba,mzee yusuph,diamond na wengine.
Pole jide,belle na bella.
Support muziki mzuri,tanzania tufike mbali.
"nlikuwepo":bolt:
kwenye swala la kutawala jukwaa Diamond hana mpinzani hapo mkuu, bora wangemnyima category nyingine zooote lakini sio hapo
duuuuualikiba hampati hata baraka da prince
ha ha ha we ukinya mi ntazoa wala usiwe na hofu.
hongereni kwa kuchua tuzo.
Christian Bella Barnaba wameonewa.
Tuzo zimekosa uhalisia,zimekuwa za kishabiki na team fulani fulani.Msanii kama Christian Bella kukosa Tuzo sio jambo la kufumbia macho
ni ujuha kutoa tuzo kwa kura tu,narudia ni uboya.yaani tuseme video bora iwe salima_linex over ntampata wapi kisa kura.so ashamed sometimes of being black...low minded people.anyways nadhani msanii anashuka mwenyewe kama kiba alivyoshuka mwenyewe "hii ya kulazimishwa kushushwa ni ushoga grade a+".
hili povu la sabuni gani ?
Hahahaha jamani usifanye hivyo.Najua unamkubali Kiba kirohoni 😀
Hahahaha wao ndio inawauma ndio maana wanawafata mpaka MTV.. Kazeni buti safari ya mafanikio ina mengi
isha mashauzi mkuu
Ha ha ha
Sawa mtani...napokea hongera hiyo kwa mikono miwili.
Yani mondi akichukua tuzo mtv siingii tena Jf mimi.
Tujadili hili la Fid q kesho.
Nimehuzunishwa sana,nitachukua maamuzi magumu
Tuzo zimekuja tumefurahia kuangalia
Sasa ni mwendo wa kazi zionekane na sio maneno na ushabiki.
Tutawasubiri sasa waanze kuongelea kazi za wasanii wanavyojituma na kutuonyesha wanafanya nini na awalali
Mie naanza kumfatilia yule de prince nimesikia mziki na sauti yake nimeipenda...natumaini nae atajitangaza na kuonyesha kazi zake chipukizi huyo
happy kuona wasaniii wakijituma na kuthamini kazi zao na matunda wanayopata sio kulala
Kupiga kura Diamond Platnumz kategori 3, vanessa 1 ingia kwa link
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
******************