Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Mashabiki wameshaamua nyie.endeleeni kuwalambisha mashabiki wenu ndimu na ukwaju si ndo tambo zenu??? Hhahaha lazima mbadilike

usisahau kutuletea sifa za kazi za unayemshabikia, tuzo zimepita sasa ni kazi na mkwanja tuuuu
 

Watz hatupendan hata kidgo.....unakumbuka marehem kanumba alishawahi kupondwa bila 7bu wakat ndo aliyekua anatuwakilisha kimataifa.
 
Hongera Alikiba
Angalau wapenzi wako wamejitahidi wao kupata cha kuongea mtaani

Big up kwa mashabiki wako
 
yan kesho haifik tu, mana team ndomo nna ham nao. kwenye cm hata cwafaid.
 
Mfalme amepatikana Kwa maamuzi ya wananchi kupitia kura ni kingkiba wazee Wa matamko mje tena na matamko wenu yasiyoeleweka basata awampendi na audtax hawampendi pia wachakachue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…