Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Mashabiki wameshaamua nyie.endeleeni kuwalambisha mashabiki wenu ndimu na ukwaju si ndo tambo zenu??? Hhahaha lazima mbadilike

usisahau kutuletea sifa za kazi za unayemshabikia, tuzo zimepita sasa ni kazi na mkwanja tuuuu
 
kama hii nchi imefikia mpaka huku na watu wanaona sawa tu, then we should forget about development!!
...I can't blv kiba n mtumbuizaj bora over diamond !!!
...not true, na dhambi ya unafiki ni mbaya sana!
...tujaribu kuwa na hofu ya Mungu kidgo, haki itendeke! Na kwenye ukweli tuseme tu ukweli.

Kwa akili ndogo hiz za hawa mburullaz (in le mutuz voice) ukiwauliza kwann wanamdis diamond hawatakupa jibu, asa diamond kakosa tuzo, fyn, then ww unafaidika na nin ??

Am sure hatuez kuendeleza mzk wetu kwa style hii......tujifunze kwa wenzetu wanaija wanavosapotiana, that's why ukiwahesabu waliotok kwa africa wanafika zaid ya 20, lakin cc kna mtu mmoja tu anatuwakilisha mpk nje still tunztak kumvunja moyo na kumshusha!
....ili iweje labda???

Wenye akili kubwa watakuwa wamenielewa.

Watz hatupendan hata kidgo.....unakumbuka marehem kanumba alishawahi kupondwa bila 7bu wakat ndo aliyekua anatuwakilisha kimataifa.
 
Hongera Alikiba
Angalau wapenzi wako wamejitahidi wao kupata cha kuongea mtaani

Big up kwa mashabiki wako
 
yan kesho haifik tu, mana team ndomo nna ham nao. kwenye cm hata cwafaid.
 
Mfalme amepatikana Kwa maamuzi ya wananchi kupitia kura ni kingkiba wazee Wa matamko mje tena na matamko wenu yasiyoeleweka basata awampendi na audtax hawampendi pia wachakachue
 
Back
Top Bottom