Jack Daniel's
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 1,008
- 835
+Mtoa mada nimependa uandishi wako yaani leo Chibu umemtaja vizuri kabisa badala "ndomo" kama ilivyozoeleka.
+ok tupo pamoja tunasubiri live update!
* Pamoja mkuu watakimbiana leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
+Mtoa mada nimependa uandishi wako yaani leo Chibu umemtaja vizuri kabisa badala "ndomo" kama ilivyozoeleka.
+ok tupo pamoja tunasubiri live update!
Tuzo za mwaka huu zimekua zikichukuliwa na wengi kama 'kukata mzizi wa fitna' kwa wale mahasimu wawili wa muziki wa kizazi kipya Tanzania ambao ni Ali Saleh Kiba almaarufu 'King Kiba' na Naseeb Abdul almaarufu 'Diamond Platinumz'.
#TEAM Diamond tutakuwa pamoja kuhakikisha uchakachuaji wa kupendeleana au kubebana tunaukemea...Kama kuna haki Diamond atatoka na tuzo nyingi kuliko msanii mwingine yoyote
Hivi umewai kujiuliza baada ya Diamond kuandika vile kwanini hakuendelea kuandika maana aliahidi kuandika part 2?
Mashabiki wa aina yako ndio walimfanya Diamond kuandika vile na wenye busara walimwambia hakupaswa kufanya vile na ndio maana hakuandika tena!
Hivi kama ni kweli kwanini hawakuchakachua ya tuzo zile saba!
Kwanza naomba ufikiri kwanza kwanini hakuandika tena?
Ndugu yangu kama unaona "Nyota nyota" hapa tu sidhani kama utaelewa majibu ya hayo maswali uliyouliza.Mkuu hebu wataje hao miungu watu wanao lipiza kisasi na twambie kwa nini?
Kama wote wangekuwa nominated kimataifa ningesema sawa KTMA itakata mzizi wa fitina, lakini kwa vile ni mmoja tu ndie anayetambulika Kimataifa basi mzizi wa fitina ulishakatika wenyewe bila kusubiri KTMA ambayo imeshaanza kupewa lawama kibao.
Le Mutuz ameanza kutapika nyongo huko IG ! Anasema haiwezekani majaji wawe ni siri lazima hapo ni gadem.
Mwaka jana nadhani ilikuwa ni aibu tu maana kwenye video bora unaiweka My #1 then unategemea ishindane na video gani?!Anyways Diamond ana Category 10,ila ni balaa eti kina Jux wameingia wimbo bora wa mwaka Diamond hakuna....Hivi umewai kujiuliza baada ya Diamond kuandika vile kwanini hakuendelea kuandika maana aliahidi kuandika part 2?
Mashabiki wa aina yako ndio walimfanya Diamond kuandika vile na wenye busara walimwambia hakupaswa kufanya vile na ndio maana hakuandika tena!
Hivi kama ni kweli kwanini hawakuchakachua ya tuzo zile saba!
Kwanza naomba ufikiri kwanza kwanini hakuandika tena?
Ndugu yangu kama unaona "Nyota nyota" hapa tu sidhani kama utaelewa majibu ya hayo maswali uliyouliza.
Nitafurahi sana nikiona Alikiba akimbiza watu ktk tuzo.
Huyu jamaa ni mwanamziki bora. Anajua kuimba na kutunga na ana sauti nzr. Bahati mbaya hana Nyota nzr ya kung'aa sana, kupata pesa sana na huenda japo sina uhakika hana management nzr (Promoters, managers, whistleblowers, wazee wa kujipendekeza, wazee wa madili mjini, nk).
Kama wote wangekuwa nominated kimataifa ningesema sawa KTMA itakata mzizi wa fitina, lakini kwa vile ni mmoja tu ndie anayetambulika Kimataifa basi mzizi wa fitina ulishakatika wenyewe bila kusubiri KTMA ambayo imeshaanza kupewa lawama kibao.
Mwaka jana nadhani ilikuwa ni aibu tu maana kwenye video bora unaiweka My #1 then unategemea ishindane na video gani?!Anyways Diamond ana Category 10,ila ni balaa eti kina Jux wameingia wimbo bora wa mwaka Diamond hakuna....
Dah, umenipa kazi nzitoooooo!
Ngoja nijaribu kutafuta.
+Mtoa mada nimependa uandishi wako yaani leo Chibu umemtaja vizuri kabisa badala "ndomo" kama ilivyozoeleka.
+ok tupo pamoja tunasubiri live update!