Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

hapa kwa Nahreel haki imetendeka, nimefurahi kuliko category zote zilizopita
 
Nadhani kufanya shughuli iwe ni ya waalikwa tu kumechangia shughuli hii kukosa shamra shamraaa. Inaboaaaa
 
Kura yangu nampa Fid Q.Kaka zangu weusi mnisamehe tu.
 
Miss Tz ana kitambi! Uwiiiiiiii.
 
Back
Top Bottom