Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Nasubiria kwa hamu msanii bora wa kiume bongoflavor,hapo kuna watu wataparuana hapa
 
Huwezi jua inawezekana akwa ndio baba yake, au dunian wawili wawili... chagua principle moja utakayoona inakufaa

Baba yake....Hahahahaaa
Hapa mama alichepuka kwakweli!
 
Wema huo ni mchina au ndo alivyo?
Napenda Sauti yake tuuu



Joooooh
 
Wakimaliza kugawa tunzo wampe na mzee wa le tamkoooooooz. Mzee wa akili kubwa anajitahidi sana kukurupuka Hahaha
 
Hii category ya kutumbuiza Christian Bella anaistahili kwakweli
 
hizi tuzo kuna kitu nakiona nyuma ya pazia hasa kwa wasanii kiba na diamond.

kuna mchezo wamecheza ili kubalance game kuna kitu wana hofia kutoka kwa team kiba na team mond!

Ni mawazo yangu na haya fungamani na upande wowote leo nasimama kama free obsever.

Hata mi nimefikiria ka wewe.
 
Back
Top Bottom