data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Kuna hujuma imefanyika juu ya Christian Bella na Malaika Band kwa ujumla
Wote twapigwa na butwaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna hujuma imefanyika juu ya Christian Bella na Malaika Band kwa ujumla
Ile video bado tu????
Leta wewe mpenzi mimi niko huku leo tu.
Sikutegemea hili swali kwa yanayoendelea hapa unayaona.
Una bahati wewe? Kila nikitaka kukuita nasahau.
Umepotea kwa lisaa lizima...ulikua unajipoza na ndimu eeh?
Una bahati wewe? Kila nikitaka kukuita nasahau.
Umepotea kwa lisaa lizima...ulikua unajipoza na ndimu eeh?
Kupiga kura Diamond Platnumz kategori 3, vanessa 1 ingia kwa link
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
******************
Huyu Mzee hii sasa sifa!
Mi nawachora tu mnavyopeana za uso.. Kwahiyo ngapi ngapi mpaka sasa??
Hahahahaaa, ujue hapo analia hivyooo! Ndio kajikaza akaandika hiyo post!