Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Nilikua najiandaa kumpigia kura Dai Ila no nimebadri maamuzi Kwasabbu yeye na mkewe akili zao sawa na miguu ya Kuku Nitavote 4sautisol√√√
Ndo wasanii wa Afrika mashariki hao mkuu.Huyu mwanamke mimba itakuwa inamsumbua
 
Kilichombeba Ali Kiba ni chuki za wapiga kura kwa Diamond ila ukweli utabaki palepale kuwa Diamond yuko mbali sana ukimlinganisha na Ali Kiba
 
Hivi kwanini wanawake wengi mnamchukia Diamond baada ya kuachana Wema?
Tuache majungu na fitina zisizo na faida,sawa Kiba anajua bt Domo yupo juu zaidi,huwezi fananisha wa mchangani(Kiba) na wakimataifa(Diamond)
 
Badala ya kufungua uzi uongelee kufurahia tuzo muongeleee maendeleo ya nayotakiwa awe juu na sio matuzo tuu, unakuja kujaribu tena kumshusha Diamond duh mnamzimia rohoni kwa kumfikiria kila sekunde

Tatizo kumbe NYOTA...lol
 
Hongera Ali Kiba na hongera zaidi kwa Team Kiba kwani mmeonesha namna ya kuunga mkono msanii. Mmempigania wakati wote hadi kufikia mafanikio haya.
Ikumbukwe kwamba ndio kwanza Kiba ana miezi kumi na moja tangu arejee kwenye muziki na ametoa nyimbo mbili tu na video moja, lakini tayari kakusanya Tuzo saba ambazo naweza kusema zilikuwa ngumu sana.
Kama hujui ugumu wa kuondoka ktk muziki kwa miaka mitatu na kurejea kwa nguvu hizi ndani ya miezi 11 huwezi mpongeza Kiba na Team Kiba kwa matokeo haya.
Ila kwa faida yako tu nenda kawaulize Dudubaya, Mr Nice, Q Chillah na wengineo juu ya namna ilivyo ngumu kurudi kwenye muziki na kutamba tena.
Pia napongeza mwamko mkubwa wa kuunga mkono wanamuziki wetu wenyewe, nadhani nao wataongeza bidii ili kutoangusha mashabiki wao. Ila naomba na Team za wanamuziki wengine wazuri zizaliwe.
Kuliko kuwaachia wahuni wanaojiita OSATA kuufanya huu muziki kama mali yao kwa kulazimisha kuwazika wazoefu ili game litawaliwe na chipukizi kila siku.
Wanamuziki kama Kassim Mganga wanaweza kukuliza ukisikiliza wimbo wake wa Subira alioimba na Bella kwa jinsi ulivyo mzuri kwa kuimbwa na kuandikwa, lakini miungu watu OSATA wanalazimisha apotee.
Pia, nikupongeze nifah wangu kwa maneno mazuri ya kuanzisha uzi huu.
Ova
 
Last edited by a moderator:
mashabiki wa ali kiba kumbe si kwamba ni mashabiki wa kumkubali yeye kama yeye. bali ni mashabiki wanaosukumwa na hatting kwa diamond. poor people

Jiulize, kwa nn huyo Diamond anachukiwa?
Jiulize kwa nn mbadala wa wapenda mziki umekuwa Alikiba na si mwingine?
Ukiyapata majibu hayo utajua kuwa mziki ni kazi ya kuwekeza katika nguvu ya uwezo wa kimziki na sio kick ya kashfa ambazo mwisho wake ni uchafu usiofutika.
Diamond hana budi kujitafakari alipokosea na kujifunza kwa mwenzake kuhusu discpline ya maisha
 
Badala ya kufungua uzi uongelee kufurahia tuzo muongeleee maendeleo ya nayotakiwa awe juu na sio matuzo tuu, unakuja kujaribu tena kumshusha Diamond duh mnamzimia rohoni kwa kumfikiria kila sekunde

Tatizo kumbe NYOTA...lol

Naomba nikudokeze bibie! Mimi ni miongoni mwa waamuzi na Diamond kumtukana Jokate aliingia choo cha kike!
Ni hayo tu!
 
Mi nimeumia Bella kukosa hata moja.
Nashindwa
Nani kama Mama

Hata watoto wangu wadogo kabisa lkn wanajua Bella ni bora. Km kweli huyu mwanaume hajapata tuzo hata moja wkt ilibidi apate 3 basi hizi tuzo lazima uhonge ndo unapata
 
Dereva hagombei siti hata siku moja, siku zote siti yake ipo mbele. Diamond Platinumz endelea kuendesha gari lako, leseni bado inakuruhusu, siti yako ya mbele hakuna wa kuichukua. Pembeni yako usimuache dada yetu Vanessa, muweke siti ya kushoto kwako apate uzoefu wa kukaa mbele ili naye aendeshe gali lake.
 
Back
Top Bottom