Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Kilichombeba Ali Kiba ni chuki za wapiga kura kwa Diamond ila ukweli utabaki palepale kuwa Diamond yuko mbali sana ukimlinganisha na Ali Kiba

Kawaida ya wabongo wanapenda sn kufata mkumbo,Kiba anajua bt bado hajafikia level ya Domo,sikulazishi ukubaliane na mimi
 
Diamond Total career Awards--- 25
Alikiba Total career Awards--- 8

Nilisema mjiandae kwa dhoruba kali ndio tumerudi hivyo, yametimia.
Halafu sioni mantiki ya kuweka tuzo zote kwa ujumla ilhali kipindi diamond anakusanya tuzo zote hizo Ali Kiba alijipa likizo ya muziki.
Sasa karudi tuwapambanishe kwa wakati huu.
 
Okay I see. Kumbe hivi ndio vilikuwa vigezo vya kumpata mtunzi bora, mtumbuizaji bora na wimbo bora tuzo za KTMA? Death of bongo fleva.

Yaan hata siamini, leo ktma imekuwa mahala pa watu kuendesha u simba na yanga??!!! Pole bongo flava.... Hiv kweli Kiba anaweza kuwa mtumbuizaji bora mbele ya Chibu, kweli...?! Kwa show ipi kwanza?! Sidhani kama hata Kiba mwenyewe (kama anajitambua) atashangilia eti kawa mtumbuizaji bora.. Wanamjaza sifa ambazo hana kisa tu wanachuki na mafanikio ya diamond..!! Ajabu sana aisee.. Mtv, bet, channel o hawana hizo na ndo maana Neno Kiba ni msamiati usio eleweka kule.... Basata pambanisheni vipaji halisi na si hii kubalansisha vipaji.. visivyobalansika by nature....
 
Huyu dada naona kaanza mambo ya ajabu tangu atelekezwe na mh sugu. So labda anapambana na stress
 
Mmmh, Mimi sina timu ila napenda music,

Weka Tanzania, mbele Mkuu
siku davido alipo mdis naseeb alidis Tz nzima...na wew ukiwa mmoja wapo.

Leta heshima kwa tz

Mkuu asante sana. mwisho wa yote atajifunza. Akishupaza shingo anguko linamsubiri
 
Kushupaa kwa aina hii kumemfanya Diamond akapotezwa! Huamini?

Sorry mkuu d hajapotezwa... Nenda Mtv, nea , bet, bbc nk wanakojua nini maana ya muziki utaupata ukweli... Si rahisi kumpoteza kwa sasa yule through uhuni uhuni wa Basata... Na kama ndo Lao lengo, Wamechelewa sana...
 
Mleta mada nenda katafute mwanaume akupumilie kisogoni ili upunguze jazba hizo.

Kwa mara ya kwanza KTMA wamefanya maamuzi sahihi katika kutoa tuzo.

Samahani mkuu ila nahisi una matatizo.
 
Nakuhakikishia hapati! Mshauri afute kauli na ajutie! Hawezi kumdhalilisha mwanamke ambaye sisi tulimthamini kupita kiasi! Katembea na wengine zaidi ya Diamond na ana haki ya kuhifadhiwa siri zake!

Duuh, ila kumbuka wale sio Basata mkuu...
 
Jamani naomba kuelimishwa huyu ndio FAIZA FOXY au hawa Faiza wapo wawili naomba mnijuze jamani mbona FAIZA FOXY anavaa hivi haoni kwamba anakidharirisha chama chake.kwa uvaaji huu na apigwe ban nashauri
 
Back
Top Bottom