Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaani le mutuz ndo kadhihirisha u boya wake,aibuuuuu,kili kampuni kubwa ile imesheheni wasomi wenye experience na PR,wafanye upu mbavu kama ule?le tumboz kwa akili yake kabisa anakimbilia insta kujisifu eti kili wametuma post kama ile,.aaaaaggggggggrrr

Nasikia kafuta post ngoja niende, nilisema tu atafuta na kweli keshafuta.
Yule mzee atakufa jamani, haya mambo atuachie vijana tu.
 
Mimi leo nimevote for davido,vanessa,sauti sol,na flavor pale kwenye category ya utumbuizaji,jana nimevote sana for diamond,ila leo niliposoma post za zari anatuponda watanzania tuache makelele kuwa wao wamezoea kimataifa zaidi,nikaapa i will never vote for Diamond again.kwanza wakipataga tuzo badala ya kufurahi na wao ni kuwaponda tu wengine live.

Mimi mbona hiyo category ya mtumbuizaji bora siioni? Nataka nikafanye yangu maana nimebakiza kipengele hicho tu.
 
Aibu iko palepale kwa KTMA...
hilo hawataliepuka.
 
are u tanzanian or a british ila diomond hakustahili hata hizo mbili ni huruma tu

You cant say "a british" it is "are you Tanzanian or British". Mimi ni mtanzania halisi. Your question just enlightened me to the type of people posting anti Diamond stuff in this forum. Not worth my time. And it is clear Diamond's success is what is bugging you all. Bye
 
Mimi mbona hiyo category ya mtumbuizaji bora siioni? Nataka nikafanye yangu maana nimebakiza kipengele hicho tu.
Nenda palipoandikwa BEST LIVE,i mean hiyo category inaitwa BEST LIVE
 
Ha hiyo ya MTV tutahakikisha hapatiii...labda ashindanie tuzo za kujaza mimba manungayembe
 
Yaani le mutuz ndo kadhihirisha u boya wake,aibuuuuu,kili kampuni kubwa ile imesheheni wasomi wenye experience na PR,wafanye upu mbavu kama ule?le tumboz kwa akili yake kabisa anakimbilia insta kujisifu eti kili wametuma post kama ile,.aaaaaggggggggrrr

watu wamemchamba mpaka kaifuta
 
Attachments

  • 1434299241139.jpg
    1434299241139.jpg
    85.1 KB · Views: 297
Last edited by a moderator:
Aibu mtu una miaka 60,unafanya upuuzi kala ule halafu unajiita akili kubwa
 
tuzo zenyewe zinaitwa "KILL" Music Awardz unategemea nini sasa kwa mfano?
 
You cant say "a british" it is "are you Tanzanian or British". Mimi ni mtanzania halisi. Your question just enlightened me to the type of people posting anti Diamond stuff in this forum. Not worth my time. And it is clear Diamond's success is what is bugging you all. Bye

no davido no diamond for sure sasa ubora wake mnaosema mi siuoni coz anategemea collable halafu anajisifia mr masifa (domo)
 
Mtu na akl zako unatoa ushuz km huu.achen kufikiria km mazuzu kwa iyo icho kigezo cha mapenz ndo hajapata tuzo.ulitaka akuf**e ww.Kima kweli we jamaa
 
Mtu na akl zako unatoa ushuz km huu.achen kufikiria km mazuzu kwa iyo icho kigezo cha mapenz ndo hajapata tuzo.ulitaka akuf**e ww.Kima kweli we jamaa
kumbe jee
yaan mungu akituuliza atupe nini (zawadi) ila atamgia mond mara mbili kile atakachotupa
mfano:ampe kiba tuzo kumi na mond apewe ishirini....amfanye kiba milionea na mond bilionea BASI SISI TUTAMJIBU MUNGU AMFANYE KIBA KIPOFU JICHO MMOJA ili MOND apofushwe macho mawili
 
Usichokijua ni kama usiku wa giza.bado ukweli hujajulikana wa yaliyosemwa mtoto wa kike unatapatapa! So ukimpigia davido anaewakilisha nigeria na kumwangusha chibu unapata faida gani kama mtanzania?
 
Usichokijua ni kama usiku wa giza.bado ukweli hujajulikana wa yaliyosemwa mtoto wa kike unatapatapa! So ukimpigia davido anaewakilisha nigeria na kumwangusha chibu unapata faida gani kama mtanzania?
kumbe hujui anavyotukereketa

yaan Mungu akituuliza atupe nini (zawadi) ila atamgia mond mara mbili kile atakachotupa
mfano: ampe kiba tuzo kumi na mond apewe ishirini.... Amfanye kiba milionea na mond bilionea Basi sisi tutamjibu Mungu amfanye Kiba kipofu jicho moja ili mond apofushwe macho mawili
 
Usichokijua ni kama usiku wa giza.bado ukweli hujajulikana wa yaliyosemwa mtoto wa kike unatapatapa! So ukimpigia davido anaewakilisha nigeria na kumwangusha chibu unapata faida gani kama mtanzania?

Mimi ni team muziki mzuri haijalishi mwimbaji anatokea wapi upooo? Kwa taarifa yako nitapigia ata mawe ila sio chibu. Nazani umenielewa bibieee
 
Back
Top Bottom