Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Hahahahaaa, na tuwapigie wanaija tu maana hakuna jinsi.
Mimi sioni hiyo category ya best live performance sijui kwanini, ngoja nikaitafute.
 
Mtu na akl zako unatoa ushuz km huu.achen kufikiria km mazuzu kwa iyo icho kigezo cha mapenz ndo hajapata tuzo.ulitaka akuf**e ww.Kima kweli we jamaa

Hahahahaaa, kweli watu mmevurugwa leo hadi mnatamani mmeze hizo device zenu.
Hakuna jinsi sasa, kubalini tu kushindwa...lol
 
Mkuu nakuminiaga sana kua uko makini ila leo umeingizwa mkenge na yule mzee tena ushahidi wa kizembe toka IG duh,ivi unaamini KTMA wanaweza kabisa kupata ujasiri wa kukubali kosa hata kama wamefanya au ni lini walimaliza bila malalamiko ushawahi kuona wakisema walikosea na hata kama wangekosea unaamini kua wangemaliza kwa kusema tuwapigie kura Diamond na Vanessa.

Anyway naona mashabiki wa Diamond wako desparate kwa kiwango ambacho wanatamani litokee jambo lolote siku ya jana irudi au hata waseme awards ni next week ili wafute makosa yao kwa kupiga kura kwa wingi ila ndio ivyo tena ishatoka na Ally kampiga mpinzani mkono kamili muhimu ni kuvumilia kipindi hiki kigumu maana nguvu ya umma imefanya shughuli yake niwape moyo "this too shall pass"
 
McDonaldJr Huyo ndiye matumbo anayejiita mjanja, mtoto wa mjini. Na hii ni mara ya pili anachemka sasa, nakumbuka aliwahi kutoa tamko na kiapo kikali (damu itamwagika) kuhusu Davido kuperform katika fiesta ya mwaka jana, kilichotokea kinajulikana.
 
Last edited by a moderator:
Diamond yuko bouraaa, madhaifu mengine ni ya kibinaadam.... all the best kwa MTV mama Africa.
 
Hahahahaaa, na tuwapigie wanaija tu maana hakuna jinsi.
Mimi sioni hiyo category ya best live performance sijui kwanini, ngoja nikaitafute.

Nenda utakiona mamy..
Yaan team domo leo hatuwapumzishi
 
McDonaldJr Hahahahaaa, mkuu nimecheka sana! Hata hivyo ngoja nilifikirie hili ombi lako, ila nikikumbuka kuhusu zile tambo zao natamani nizidi kuwaumiza zaidi ya hapa.

Hakika leo kuna watu wanatamani wangeweza kuwa mods japo kwa dk 5 tu wanipige ban moja kali sana..lol. Asante sana mkuu, huu ni mwanzo tu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa, mkuu nimecheka sana! Hata hivyo ngoja nilifikirie hili ombi lako, ila nikikumbuka kuhusu zile tambo zao natamani nizidi kuwaumiza zaidi ya hapa.
Hakika leo kuna watu wanatamani wangeweza kuwa mods japo kwa dk 5 tu wanipige ban moja kali sana..lol

Asante sana mkuu, huu ni mwanzo tu.

Na ndo kifuatacho
 
Mhhhhh kwanini uhusishe uchaga na ARUSHA kupokea tuzo aisee wala ushindi hauhusiki na unywaji wa Bia. Tuzo unaweza isiwe fair lakini si kwa hizo sababu ulizotoa.
Harsty generalization ni false.
Hizo sio tuzo tuuu, watu wamewekeza, watu wanafanya Business hapo wewe. Arusha na Mwanza unafikiri wapi wanakunywa sana Bia? Nani ana influence jamii ya unywaji? Urafiki pia unaingia hapo.

Kumbuka wale jamaa wa Arusha hata Mshiko wanao, wimbo ule ule wa mwaka jana ndo wameutumia kushinda mwaka huu, ambao mwaka jana alishinda pia. Fid Q Yupo njema sana sana, hiyo KTMA ni biashara hiyo...kuna Umuhimu wa kubadilisha wadhamini next time,wawe hata Vodacom,Airtel,Tigo au Makampuni Mengine tuuu,ndo utajua nilikuwa namaanisha nini...
 
Usichokijua ni kama usiku wa giza.bado ukweli hujajulikana wa yaliyosemwa mtoto wa kike unatapatapa! So ukimpigia davido anaewakilisha nigeria na kumwangusha chibu unapata faida gani kama mtanzania?

Tunapga kura kwa kujisikia na hatuendeshwi na matukio. Mi napigia mwanamziki mzuri basi.
 
Wabongo kwa uhuni tumejalia....!!
Tuzo zimefanyika jana,na kuisha usiku wa manane,hao waandaaji wa hizo tuzo wamepata wapi mda wa kutathimini zoezi zima?? Leo ni jumapili je ofisi za waandaaji na wadhamini zilikua wazi??
Je tamko hutolewa na mtu mmoha au management nzima???
Hii account ni fake,tusubili watakuja kukanusha mda si mrefu
 
Binafsi napenda maendeleo ya mziki wetu na napenda huzidi kwenda mbele zaidi, ushaur: Diamond na Kiba kutaneni mtoe tofauti zenu na mje na collabo itakuwa vizuri zaidi kwa afya ya mziki wetu' Sio vibaya kati yenu mmoja akajishusha kwa mwenzake ili mazungumzo yaende vizuri, majivuno, dharau kiburi myaepuke panapostahil mtu kuheshimiwa kutokana na nafasi yake kimziki basi mpeane heshima hizo upendo amani na mshikamano mtafika mbali, ona hiz team team zinafanya wasanii wengne wakumbwe na vimbunga vya team hizi.

Mmoja wenu akipigiwa kura akishinda asilete dharau kwa mwenzie pia team zinaharibu mziki mfano tuzo za kimataifa kura zinapigwa na team zote ila ushindu unapopatikana ni masimango kejeli kwa team nyingine sasa umoja hauwezi kuwepo kwa mtindo huu plz malizeni tofauti zenu mje na collabo hapa mashabiki tupo tayari kuwaunga mkono mkiwa kitu kimoja!

To gether we made!
 
haiwezekani ushindi wa simba ukashangiliwa jangwani
 
Watanzania mna chuki za kutisha aisee! dah!, hivi huyu Diamond kama asingekuwa anakubalika na hao wanamuziki wa Nigeria mnadhani wangekubali kushirikiana naye kwenye muziki na hivyo kupoteza muda na pesa zao chungu nzima? Acheni chuki zenu za kutisha dhidi ya Diamond.

Tumpende diamond kwa lipi na manyimbo yake ya kinigeria,tunamsubilia diamond atusue kimataifa akiwa mwenyew sio kubebwa bebwa na akina iyanya,
 
Mtu na akl zako unatoa ushuz km huu.achen kufikiria km mazuzu kwa iyo icho kigezo cha mapenz ndo hajapata tuzo.ulitaka akuf**e ww.Kima kweli we jamaa
Ujingaujinga huu umemfanya boss wako muda huu analia! Sijui kwanini hamjifunzi? Mtu asikurupuke na kutukana bila kujua impacts za hayo matusi!
 
nifah Jamaa alikuwa anatumia nguvu kinielewalesha kisa alifikiri Mimi teamdangote... Sina timu Mimi, ila nilitaka wa vote kwa ajili ya daimond na Tz kwa ujumla.. ila kumbe kuna kitu kinaitwa " Mimi team ya Fulani "

Ngoja niache movie endelee mimi.
 
Last edited by a moderator:
Diamond ni kijana anaejituma na kupenda kazi yake.
Kwake inaonekana music iko ndani ya damu yake.
Kazi zake nyingi ni nzuri hazina ubishi na kwa sasa hakuna artists Tanzania kama yeye.
Nadhani mfumo mzima wa kupata awards una walakini.
Kura hupigwa kwenye mitandao na uwezekano wa watu ko vote mara nyingi ni mkubwa.
Kuna haja ya ku vote kwa kutumia simu tu na namba moja iwe na uwezo wa kuvote mara moja.
Inawezekana kublock namba inayo jirudia.
Na kwa Diamond ni wakati wa kuelewa kuwa sasa ana wanao mpenda na wanao mchukia. Hivyo managers wake na washauri wake wawe watu makini wamshauri vizuri.
Ajue cha kuongea hasa na media.
Uhusiano wake na washabiki wake ni muhimu sana hivyo lugha yake iwe ya kuwa shukuru kuwa nao.
Diamond sasa ni wakati wa kuwa tofauti na wenzako na kuna umuhimu wa kuanzisha foundation itayo simamia customers relationship kwa kurejesha baadhi baadhi ya mapato kwa raia.
Kusaidia harakati za jamii .
Mfano ile white party inaweza kuboreshwa zaidi kwa kutoa sehemu kubwa ya mapato kujenga shule ya Tandale ulosoma.
Kusaidia baadhi ya nyumba za mayatima nk.
Kufanya hivi kutakuzidishia wapenzi sana na hata maadui zako watakua hawapati nafasi. Private life yako pia ni muhimu ukaiweka nje ya mashabiki wako

Pia unaweza kujitoa future KTM Awards kama mfumo wa upigaji kura haukubadilishwa.
Sasa ni wakati wa ku act like real international figure.
 
Back
Top Bottom