Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Watanzania mna chuki za kutisha aisee! dah!, hivi huyu Diamond kama asingekuwa anakubalika na hao wanamuziki wa Nigeria mnadhani wangekubali kushirikiana naye kwenye muziki na hivyo kupoteza muda na pesa zao chungu nzima? Acheni chuki zenu za kutisha dhidi ya Diamond.

Umeongea ukweli, ila hii mambo ya #mimiteamfulani inaua game...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
nifah Umeona eeeh??!!

Heheh acha tu wanipe sababu ya kuendelea kuwacheka zaidi maana wanapoongea wanasema Kiba hakustahili ilhali kiukweli wanamaanisha kwanini dai wao hakupata.....

yaani wamesagika mioyo balaa hata hao kina barnaba wanavyowataja ni gelesha tu! Wajifunze kutunga nyimbo bora zinazodumu sio wanatoa minyimbo mia kidogo alafu zote zinapotea fasta tu! Teh watajiju sie waleeeee hatuna habare!

Am so happy kura zangu hazikupotea yaani vile nilikuwa napiga kwa machungu usipime. Kuna account yangu moja nilisahau kuipigia dah roho iliniumaje???!! Lakini kumbe sir God akawa anasema relax u've already won heheh asante sana.

Jana sikuonekana coz nilikuwa busy kidogo hata show nilikuta ishaanza. Guess what??! Nilikuwa nashangeka tu....and the winner is ALI KIBA hahahaaa raha sana aisee!
 
Last edited by a moderator:
Tusubiri tuone kama hilo tamko ni la KTMA kweli. Ni ngumu sana kwao kuadmit madhaifu yao juu ya tuzo za jana

Ni kwel kabisa mana ha iingii akilin eti waseme hicho kipengele kimekosewa,,,kimekosewa inamaana kama kiba hakustahil kwann aliwekwa kwenye hyo category, huo ni uzushi tu..tuzo haziwez kumridhisha kila mtu!
 
Fitina,chuki,majungu na roho mbaya havijengi!!kuweni wazi ni kipi hasa alichowakosea mpaka muendeshe kampeni ya aina hii dhidi yake!
 
Kwani huyo diamond alikua na nyimbo gani za maana za kushindana na Mwana?
Hivi mdogo mdogo nao ni wimbo wa kusema ni wimbo bora? Afadhali nitampata wapi video yake imetulia.
Wewe unamkubali chibu ila basi tu unapretend hapa uko against him😀😀😀😀😀
 
Ni upumbavu tu Mkuu tena wa hali ya juu kumchukia Mtanzania mwenzao kiasi hiki wakati amelipaisha Taifa nje ya mipaka ya Tanzania kuliko Mwanamuziki yeyote yule nchini.

Inasikitisha sana kuona huyu jamaa anavyochukiwa bila sababu zozote zile za msingi huku akijiingizia kipato chake cha halali kabisa bila kumkera Mtanzania yoyote yule.

Eti nyimbo zake hazikubaliki kimataifa! Mataifa gani hayo wanayozungumzia wakati Kenya, Uganda, UK, US, Canada na nchi nyingine nyingi alizowahi kufika hujaza kumbi mbali mbali za muziki.

Umeongea ukweli, ila hii mambo ya #mimiteamfulani inaua game...
 
Unavyosema account ni fake, jitaidi uonyeshe na original.

lokholo usiniangushe bhana. Hivi ofisi gani mtu anaandika hivyo kwa jamii!!? Mimi nilivyoona tu neno dah!! nikajua huu uhuni.
 
Fitina,chuki,majungu na roho mbaya havijengi!!kuweni wazi ni kipi hasa alichowakosea mpaka muendeshe kampeni ya aina hii dhidi yake!

Inadaiwa kuwa hao wote ni ma ex wake. Ni issue ya mapenzi wala usipate tabu. Hii iwe funzo, ukiwa maarufu kuwa mbali na wadada wa movies la sivyo utaaibika. We piga na kusema usijitangazie kuwa wako. Wapo watano ma ex na kinara inadaiwa ana Id 3.
 
Ni upumbavu tu Mkuu tena wa hali ya juu kumchukia Mtanzania mwenzao kiasi hiki wakati amelipaisha Taifa nje ya mipaka ya Tanzania kuliko Mwanamuziki yeyote yule nchini.

Inasikitisha sana kuona huyu jamaa anavyochukiwa bila sababu zozote zile za msingi huku akijiingizia kipato chake cha halali kabisa bila kumkera Mtanzania yoyote yule.

Eti nyimbo zake hazikubaliki kimataifa! Mataifa gani hayo wanayozungumzia wakati Kenya, Uganda, UK, US, Canada na nchi nyingine nyingi alizowahi kufika hujaza kumbi mbali mbali za muziki.

Na mbaya zaidi unakuta MTU yuko radhi ampigia kula davido wakati diamond ni mtanzania mwenzake hii inasikitisha sana kama humpendi MTU sawa lakini linapokuja swala la utaifa kwanza na uzalendo ni muhimu kuzingatia

Wamarekani hawampendi Mayweather hasa kwa tambo zake, but walikua upande wake alipopambana na pacman. Naamini somo la uzalendo bado halijafanikiwa sana.
 
ni kweli' ila tatizo liko' you cant make someone love you,all you can do is to be someone who can be loved.then huwezi ukalazimisha urafiki,hata ndugu ni hivyohivyo,mtakaojaliana ndio mtakaojuana kwenye ukoo!!,ukijipendeza kwa ndugu naye anazidi kujiona yeye ndiye bora zaidi,yeye ndio jeuri zaidi hamna namna nyingine!!!
 
Huwa napinga sana hii kauli Mkuu "Watanzania hatupendani" lakini wakati mwingine ukiona hali halisi kama kwenye huu uzi inabidi ukubali tu hali halisi ya Mtanzania kumchukia Mtanzania mwenzie kwa chuki za kutisha wakati huo huo huyo anayechukiwa hajafanya lolote lile la kustahili kuchukiwa kiasi hicho.

Na mbaya zaidi unakuta MTU yuko radhi ampigia kula davido wakati diamond ni mtanzania mwenzake hii inasikitisha sana kama humpendi MTU sawa lakini linapokuja swala la utaifa kwanza na uzalendo ni muhimu kuzingatia

Wamarekani hawampendi Mayweather hasa kwa tambo zake, but walikua upande wake alipopambana na pacman. Naamini somo la uzalendo bado halijafanikiwa sana.
 
Tanzania ndio maana tunaitwa"bongo lala" Leo tunampiga vita Daimond,akipotea huyo kiba ataweza kupepea bendera ya bongo afrika?wakati yk katika game siku nyingi bila kufikia viwango???
 
Inasikitisha sana Mkuu. Hapo kwenye rangi nami ndipo panaponikosesha raha sana, kosa lake ni lipi hasa mpaka watu wamchukie kiasi hiki!?

Kwa kweli sikutegemea kabisa kama watu wangekuwa na chuki kiasi hiki dhidi ya Diamond.

Hivi kibaya alichokifaya ni kipi hasa hadi watu wamchukie hivi?
 
Huwa napinga sana hii kauli Mkuu "Watanzania hatupendani" lakini wakati mwingine ukiona hali halisi kama kwenye huu uzi inabidi ukubali tu hali halisi ya Mtanzania kumchukia Mtanzania mwenzie kwa chuki za kutisha wakati huo huo huyo anayechukiwa hajafanya lolote lile la kustahili kuchukiwa kiasi hicho.

Ni kweli mkuu watanzania hatupendani mifano ni mingi sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom