Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mpigie kura basi Tanzania tupae au sio mzalendo?
Kiba na diamond hawana bifu hata kidogo ila wanaotengeneza na wanaokuza bifu hilo ni washabiki wao wenyewe..... Mbona kuna ushahidi wa mondi kupenda nyimbo za kiba na pia kiba kupenda nyimbo za kiba....
Ndio hawaipati kura yangu tena
Fitina,chuki,majungu na roho mbaya havijengi!!kuweni wazi ni kipi hasa alichowakosea mpaka muendeshe kampeni ya aina hii dhidi yake!
Kuna mahali nilisuggest watu wampigie kura Daimond...walikuja juu Kama vile nimewatoa damu.., huku kwa wenzetu hapako hivyo wala...South wako tofauti Sana, sijui kwa Nigeria ila south tena wanakwambia Tz huwa wanashine kwny big-brother na ishu zingine so, wanapopata chansi Kama hizi wanaweka uzalendo mbele...
Aisee ukija Tz, uteam unatuua afu mnauza kura kwa davido ambaye kesho anakejeli kwenye media Ninyi na wasanii wenu..
sasa mkuu yani nijisumbue nipigie kura bumbum najisumbua tu bureeee bora nimpigie davido adelekele kiroooh saf yani
Nimeona IG page ya Alikiba akiwashukuru mashabiki kwa kumpigia kura (siku 4 kabla) , hii confidence inamaanisha nini? Anyway tungojee kuona maajabu leo
Wala hatuna shida na matusi yenu maana tunajua kuwa mtarudi kuomba msamaha! Tatizo ni kwamba mnaongeza uzito wa pakacha!Baba yako Ana mdomo mchafu kama ilivyo kwa mama yako au umeona wa Daimond tu
Hahahahaaa, huyu jamaa sasa kazidi kwa matamkoz...siku hizi anayaita LE MUTUZ EXTRA STRAIGHT LIVE TALK!
Nimemuona tokea jana, na tusubiri tuone....