Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Kiba na diamond hawana bifu hata kidogo ila wanaotengeneza na wanaokuza bifu hilo ni washabiki wao wenyewe..... Mbona kuna ushahidi wa mondi kupenda nyimbo za kiba na pia kiba kupenda nyimbo za diamond...
 
Napenda mziki mzuri, nasupport mafanikio ya wakwetu, Sioni sababu ya kutumia nguvu nyingi na kushawishi watu wafanye unavyotaka wewe...hii inaonyesha Hindi gani tulivyokuwa na mapungufu. Tena makubwa..
 
Hili bifu lina manufaa kwa kiba kuliko daimond nimethibitisha msururu wa tuzo zimewasahau hata wakina dimpoz na mavoko kweli hatari
 
BAK Kuna mahali nilisuggest watu wampigie kura Daimond...walikuja juu Kama vile nimewatoa damu.., huku kwa wenzetu hapako hivyo wala...South wako tofauti Sana, sijui kwa Nigeria ila south tena wanakwambia Tz huwa wanashine kwny big-brother na ishu zingine so, wanapopata chansi Kama hizi wanaweka uzalendo mbele...

Aisee ukija Tz, uteam unatuua afu mnauza kura kwa davido ambaye kesho anakejeli kwenye media Ninyi na wasanii wenu..
 
Last edited by a moderator:
Kiba na diamond hawana bifu hata kidogo ila wanaotengeneza na wanaokuza bifu hilo ni washabiki wao wenyewe..... Mbona kuna ushahidi wa mondi kupenda nyimbo za kiba na pia kiba kupenda nyimbo za kiba....

WEWE NAWE UKO NCHI GANI,untill this you dont know that kiba&nasib they are in beef/ mbona hujawahi hata kusikia colabo yao,na je msanii gani maarufu mwingine tz ambaye hajawah kufanya colabo na either kiba or dangote?,mbona ni wao tu hawajafanya! mpaka hapo bado unasema hawana bifu eti beef linakuzwa na mashabiki! na je hujui kuwa wao wangepatana na makundi nayo yangepatana mara team kiba, mara team dangote ingekuwa ended!
 
​Mimi nina amini ktk muda hili limepita kama yalivyopita mengine Diamond hawezi kutetereka hata kidogo
 
Baba yako Ana mdomo mchafu kama ilivyo kwa mama yako au umeona wa Daimond tu
 
Ndio hawaipati kura yangu tena

Kwa hiyo kwako sautisol ni bora Zaidi ya diamond hahahahahah yaaani ni upuuzi wa kiwango A hahahahhah

Hivi unadhani wakenya wakiambiwa kati ya sauti Sol na diamond nani watampigia kura .....unadhani watamchagua diamond ....la hasha!!!! Sababu sio mkenya mwenzao

Wamarekani hawavutiwi saaana na mayweathe hasa kwa tambo na mikogo yake lakini kwenye mpambano na pacman walikuwa msupport

Je , mpaka hapo unadhani nini kinaweza kuwasukuma watu wa mataifa hayo mawili kuwasapoti watu wao .....bila shaka ni UZALENDO

Wewe huna hata punje ya uzalendo .Unasukumwa na chuki zako binafsi na hizi chuki binafsi zime-base kwenye maisha binafsi ya chibu sio kazi zake.Ni jambo baya sana

Tujifunze kuwasapoti wasanii bila chuki #@Uzalendo kwanza
 
Fitina,chuki,majungu na roho mbaya havijengi!!kuweni wazi ni kipi hasa alichowakosea mpaka muendeshe kampeni ya aina hii dhidi yake!

Na nyie Kiba amewakosea nini kwa kukosoa tuzo alizopewa???
 
Kuna mahali nilisuggest watu wampigie kura Daimond...walikuja juu Kama vile nimewatoa damu.., huku kwa wenzetu hapako hivyo wala...South wako tofauti Sana, sijui kwa Nigeria ila south tena wanakwambia Tz huwa wanashine kwny big-brother na ishu zingine so, wanapopata chansi Kama hizi wanaweka uzalendo mbele...

Aisee ukija Tz, uteam unatuua afu mnauza kura kwa davido ambaye kesho anakejeli kwenye media Ninyi na wasanii wenu..


Watu wengi wenye chuki dhidi ya Diamond, ni wale aliowaacha kwenye rags when he moved to riches, now they can't deal seeing one of their own making progress while they're still stuck in there.
 
Hii ya huku nimeipenda as people talks facts and rather maushabiki ya hovyo
 
sasa mkuu yani nijisumbue nipigie kura bumbum najisumbua tu bureeee bora nimpigie davido adelekele kiroooh saf yani

Kuwa mzalendo kaka achana na mapenzi binafsi hiyo hiyo bumbum ipigie kura ilimradi tuzo inakuja Tanzania nyumbani kwako wewe na Mimi
 
Shida yetu watz wengi ni kuwa na roho za chuki mwenzetu akifanikiwa. Hilo tunaliona Live kwa huyu kijana.... #teamFulani bila uzalendo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimeona IG page ya Alikiba akiwashukuru mashabiki kwa kumpigia kura (siku 4 kabla) , hii confidence inamaanisha nini? Anyway tungojee kuona maajabu leo

hope umeshashuhudia mkuu... kuna haja ya kujiuliza mara mbili mbili?
 
Baba yako Ana mdomo mchafu kama ilivyo kwa mama yako au umeona wa Daimond tu
Wala hatuna shida na matusi yenu maana tunajua kuwa mtarudi kuomba msamaha! Tatizo ni kwamba mnaongeza uzito wa pakacha!
 
Mtaongea. Maneno yote chuki husuda na mengineyo at the end of the day kila mtu ana maamuzi yake huwezi Ku force watu wakupigie kura kwa maneno ya kejeli.
Njooni na maneno yapya ya kukejeli watu wanaweza wakabadili mawazo.
 
Hahahahaaa, huyu jamaa sasa kazidi kwa matamkoz...siku hizi anayaita LE MUTUZ EXTRA STRAIGHT LIVE TALK!
Nimemuona tokea jana, na tusubiri tuone....

le mutuz yuko sahihi... tatizo sisi watanzania tunatabia ya kukataa ukweli.... na ndo maana yametokea yaliyotokea jana
 
Back
Top Bottom