Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Kweli, aiseeee. Nan huyo anataka ubondia halaf anakimbia ngumi za usoni…?

Wanajijua wenyewe wanaopita kimya kimya kama mafisi.
Kazi ipo, hii week hadi iishe ndio tuwaache.
 
Ivi mbona tunatafuta pa-kujishikia sana kwani akisema Fetty neno lake sheria aya yeye kasema ivyo ila wapiga kura wamesema Kiba simply hata watu wasemeje jamaa kakamata zake 5 na tusubiri next time tena hao watu wa media hasa clouds wana-engineer aya mambo kwa faida zao.

Hahahahaaa, mkuu nimecheka kama chizi wallah!
 
Team kiba huu ndo msimu wetu bhanaaaaaaa

Ama nini? Ni mwendo wa kuwachapa tu.
Tena ngoja nikavote mie siku isijekuisha hivihivi..
Asubihi nilipiga kwenye vipengele viwili tu ngoja nikamalizie kimoja.
 
Ama nini? Ni mwendo wa kuwachapa tu.
Tena ngoja nikavote mie siku isijekuisha hivihivi..
Asubihi nilipiga kwenye vipengele viwili tu ngoja nikamalizie kimoja.

Ebu kunywa cocacola nakuja kulipa mamy umenikosha sanaaaaa
 
Ndio maana nilikwambia soma kwanza previous post zako hutaki, ungeyaona mapovu yako.

Pole sijui nikusaidiaje!
Ok ok ngoja nkuambie tu kiufupi, kuna post from insta kuwa watu hawafanyi uzalendo sababu dai sio mzalendo ana miliki mganda, nkauliza nilidhani kuna sababu ya kumchukia kama vile mziki sio mzuri, mavazi n.k n.k kumbe ni sababu za kimapenzi......nawe ndo umeibukia hapo haya nioneshe hilo povu liko api hapo ili niloeke na nguo kabisa
 
yaan nimechekaaaaaa loooooo eti kisa zarii mganda makubwa hayaa
 
Back
Top Bottom