Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Murilo J Murilo (SACP) ni mzuri sana kwa msimamo HAYUMBI WAKUU. CDM angalieni tv ndani


“Wallahi, lau Fatma binti Muhammad angeiba, hakika ningemkata mkono.”
(Hadithi hii imepokewa katika Sahih al-Bukhari na Sahih Muslim).

Kauli hii inasisitiza umuhimu wa kutekeleza haki kwa usawa bila upendeleo au huruma kwa misingi ya undugu, urafiki, au hali ya mtu katika jamii. Mtume Muhammad (SAW) alikuwa mfano wa uadilifu na alitaka kuondoa dhana ya kwamba watu wenye vyeo au familia fulani wanastahili kutendewa tofauti. Haki inapaswa kutekelezwa kwa kila mtu sawa, bila kujali nafasi yake au uhusiano wake na mtoa hukumu.
 
Nadhani CHADEMA ifanye maandamano kila wiki, tumechoshwa na hali ngumu ya maisha huku CCM pekee wakifaidi matunda ya nchi
 
Msitumie nguvu kuzuia maandamano, bali imarisheni ulinzi ili maandamano yafanyike kwa amani.
Wangekuwa na akili wangezuia matukio ya kihalifu yaliyosababisha maandamano. Kusingekuwa na maandamano na raia wangefanya mambo yako kwa amani na utulivu.
Lakini kama ujuavyo, huku nguvu ni 99.9% na 0.1% ni akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…