Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Siku tulipoadhimisha miaka 60 ya jeshi letu la polisi kwa kuonyesha jinsi polisi wanavyokabiliana na waandamanaji tena mbele ya rahisi ndio nilielewa safari bado ndefu na imedhibitishwa na muamko na utayari wa jeshi letu katika kukabiliana na waandamanaji, kila mtaa askari wanapita sasa kukabiliana na maandamano huyo analichonganisha jeshi la polisiu na wananchi atakuwa na weledi wa hali ya juu sanaa
 
Wanaacha kuanzisha maandamano mikoa inayojielewa unakuja kuanzisha daslam, nenda mbeya watu washachafukwa
 
Back
Top Bottom