Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni kweli CUF walikuwa wanaadamana na walikuwa watanzania hawakuwa waoga, ndio maana mimi nasema tatizo sio kwamba watanzania ni waoga ila ni kukosa muamko tu.
 
Kazuiliwa kwake nyumbani na mapolisi, we uko dunia gani? Huna akili.
 
 

Attachments

  • 20240922_155031.jpg
    99.9 KB · Views: 1
Nilichogundua ni kwamba Watu Wengi wanaoenda Mjini ni Wapiga Dili tu

Uwepo wa polisi kila kona umewatuliza nyumbani Wapiga Dili Wote

Leo barabara ni nyeupe ingekuwa hivi kila siku Safi sana 🐼
Unawaza wapiga dili tu. Je wafanyabiashara? Wanaokwenda kuchukua bidhaa mjini?
 
Chadema walisema wamefanya maridhiano na Samia, leo Kiko wapi?
Wote hao waliungana kumtukana na kumkashifu marehemu eti alikuwa katili anauwa watu.
Ajabu leo Magufuli hayupo watu wanazidi kuuwawa na kupotea kuliko hata utawala wa mwenda zake.
Mama anaupiga mwingi!
 
Ipo hivi, CHADEMA walitangaza maandamano wakakaa kimya na kuendelea na shughuli zao za kila siku. Lakini tangu siku ile ya kutangazwa maandamano Polisi wamekuwa wakizunguka huku na kule mitaa yote ya Dar es salaam na hata Mikoa mingine.
Wamebeba silaha nzito nzito, mbwa, magari ya washawasha nk. Baadhi ya polisi yawezekana wametoka mikoa mingine.
Ebu tujiulize kidogo;
*Katika mkasa huu, nani mwoga zaidi?
*Nani ametumia gharama kubwa zaidi?
*Nani amedharaulika zaidi?
*Kimataifa nani amajijenga zaidi na nani amedharaulika zaidi?
*Kwa tathmini ya haraka, CHADEMA wana akili zaidi na wamejijenga zaidi kuliko watesi wao.
 
 

Attachments

  • 20240922_155031.jpg
    99.9 KB · Views: 3
Sogea sogea hadi lumumba hapa utaniona.
naona mtu mwenye kapelo nyeusi kavaa jezi ya Man U, bilashaka ndio wewe gentleman , nakuja hapo hapo hapo kukujoin tuone uelekeo wa pamoja,
au walitangaza kuandamana n moja moja kila mtu kivyake na sio matita matita au makundi makundi?🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…