sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Nilipoona Lissu anapiga maneno akiwa kajifunika shuka saa 2 asubuhi nikajua leo tena ni sound zile zile za kupumbaza wafuasi wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu Salamander 😂😂😂😂Mpiga deal anamiliki mkoko na kuwa na uwakika ma mafuta daily?
Ni kweli CUF walikuwa wanaadamana na walikuwa watanzania hawakuwa waoga, ndio maana mimi nasema tatizo sio kwamba watanzania ni waoga ila ni kukosa muamko tu.Nahisi Tanzania hii chama cha upinzani ilikuwa ni CUF pekee na nadhani ni kwasababu asilimia kubwa walikuwa ni waislamu waislamu sio watu waoga hata kidogo lakni hawa kanyerahumo humo hamna kitu wakikumbuka kipigo kilichompata lipumba kila moja anashika mbupu zake na kutoka ndukii.
Kazuiliwa kwake nyumbani na mapolisi, we uko dunia gani? Huna akili.Siku mbili kabla ya kufanyika maandamano ya Dibagula yaliyohusu kupinga tamko la kuwa Yesu ni Mungu,maalim Ali Basaleh alitangaza wazi kabisa mbele yetu msikitini siku ya Ijumaa kuwa angeshiriki japo polisi walikwishayapiga marufuku
Sheikh Ali Basaleh alisema yeye angekaa mbele kabisa na angevaa sanda ili akipigwa risasi basi azikwe na sanda hiyo.Na kweli siku ilipofika alivaa sanda na akakaa mbele akitoa takbir.Alipigwa lakini pamoja na kuumia hakulia.
Tukija upande wa Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa Chadema yeye kasema kupitia twiter kuwa ataandamana na akatoa ramani ya maeneo maandamano yatakapoanzia na kuishia.Mwenyekiti huyo kupitia akaunti yake hiyo alisema akipigwa risasi watu wamuombee dua na wasonge mbele.
Watu wetu kwenye vituo vyote wanasema bado hawajamuona mwenyekiti wa Chadema.
Mleta mada kaandika mada pasipo upeoMpiga deal anamiliki mkoko na kuwa na uwakika ma mafuta daily?
Siku mbili kabla ya kufanyika maandamano ya Dibagula yaliyohusu kupinga tamko la kuwa Yesu ni Mungu,maalim Ali Basaleh alitangaza wazi kabisa mbele yetu msikitini siku ya Ijumaa kuwa angeshiriki japo polisi walikwishayapiga marufuku
Sheikh Ali Basaleh alisema yeye angekaa mbele kabisa na angevaa sanda ili akipigwa risasi basi azikwe na sanda hiyo.Na kweli siku ilipofika alivaa sanda na akakaa mbele akitoa takbir.Alipigwa lakini pamoja na kuumia hakulia.
Tukija upande wa Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa Chadema yeye kasema kupitia twiter kuwa ataandamana na akatoa ramani ya maeneo maandamano yatakapoanzia na kuishia.Mwenyekiti huyo kupitia akaunti yake hiyo alisema akipigwa risasi watu wamuombee dua na wasonge mbele.
Watu wetu kwenye vituo vyote wanasema bado hawajamuona mwenyekiti wa Chadema.
Unawaza wapiga dili tu. Je wafanyabiashara? Wanaokwenda kuchukua bidhaa mjini?Nilichogundua ni kwamba Watu Wengi wanaoenda Mjini ni Wapiga Dili tu
Uwepo wa polisi kila kona umewatuliza nyumbani Wapiga Dili Wote
Leo barabara ni nyeupe ingekuwa hivi kila siku Safi sana 🐼
Na kuhama nyumbani kwenda kulala sehemu nyingine ni kama kukubali kuwa wewe ni mhalifu...!Wangelala wapi. Maana wamewekewa vishushu kila kona
Hao wanaendelea na shughuli zao kama Kawaida 😄Unawaza wapiga dili tu. Je wafanyabiashara? Wanaokwenda kuchukua bidhaa mjini?
Nilichogundua ni kwamba Watu Wengi wanaoenda Mjini ni Wapiga Dili tu
Uwepo wa polisi kila kona umewatuliza nyumbani Wapiga Dili Wote
Leo barabara ni nyeupe ingekuwa hivi kila siku Safi sana 🐼
Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji nyara, kupotea kwa watu na mauajo ya raia. Wananchi wamelinyooshea kidole jeshi la polisi kutokana na mazingira ya upoteaji wa watu. Watu wengi wameripotiwa kupotea baada ya kuitwa vituo vya polisi.
======
Siku ya waliyosema chadema kufanya maanadamano kwaajili ya kupinga utekaji na watu kuuliwa na watu wasiyojulikana imefika,
Tangazo hili lilitolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Septemba 11, 2024, ambapo alisema wataingia barabarani endapo wanachama wao waliopotea hawatarudisha na kama serikali haitawajibika ikiwa ni pamoja na kujiuzulu kwa viongozi husika.
Ratiba ya maandamano ilitolewa Jumamosi tar 21 Septemba 2024 baada ya kuwa serikali haijatekeleza takwa lolote kati ya yale yaliyotolewa na CHADEMA kuhakikisha kuna uwajibikaji.
Fuatilia uzi huu kwa matukio ya moja kwa moja kwa siku ya leo na yatakayojiri kwenye maandamano hayo.
=======UPDATES======
View attachment 3103938
Magomeni muda huu. Naelekea katikati ya mji nifike Mnazi Mmoja
Asubuhi imeanza kwa taarifa ya Lissu kuzingirwa na polisi na kutakiwa kwenda kuripoti katika ofisi ya RCO Kinondoni, ambapo amekubali kwenda kuitikia wito.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameeleza kupitia mitandao ya kijamii kuwa tangu jana usiku mpaka asubuhi ya leo Septemba 23, 2024 Jeshi la Polisi limefunga barabara zote zinazoelelea nyumbani kwa mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe.
Chama hicho kimeeleza kuwa watumiaji wote wa barabara hiyo wanasimamishwa na kukaguliwa, wakiulizwa kama wanaenda kwenye maandamano.
CHADEMA wameripoti kuwa mapema leo Jeshi la Polisi wameingia nyumbani kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara kisha kuondoka nae bila kusema wanampeleka wapi.
naona mtu mwenye kapelo nyeusi kavaa jezi ya Man U, bilashaka ndio wewe gentleman , nakuja hapo hapo hapo kukujoin tuone uelekeo wa pamoja,Sogea sogea hadi lumumba hapa utaniona.
Basi angalau angetujulisha kwenye twitterKazuiliwa kwake nyumbani na mapolisi, we uko dunia gani? Huna akili.