Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha uoga mama
 
Sasa nyie wanachadema mmemsaliti mwenyekiti inakuwaje kajikuta peke yake magomeni mlitakiwa muwe pale siyo humu jf mnatukana watu kama kawaida yenu ila maandamano aaah, ukiwaza kidimbwi eti ukakae selo unaghairi
😂😂😂
 
Wamezingira nyumba akitoka tu wamkamate.Baadae intelijensia ikawaambia amesafiri jana kwenda Arusha. Wakawa na uhakika 100% tayari amewasili Arusha. Wakapata na ujasiri wa kutangaza kwamba amejifungia kwenye ofisi ya chama Arusha.Wanakuja kushangaa mwamba kaibuka Magomeni
 
Akili yako mbovu sana!
 
Toa njia mbadala namna tunavyoweza kutatua hayo matatizo na changamoto zilizopo kwenye mfumo huu wa utawala tulionao.
Great question. Very intelligent, hili ndiyo swala la kufikiria kama watu wenye ubongo mzuri.

Maandamano yaliyopo nchini kwetu kimsingi si kwaajili ya wananchi wote ni kwaajili ya vyama vya kisiasa that’s why yako organised chini ya viongozi wa kisiasa kina Mbowe, Lisu na Lema.
Na ndiyo maana hayafanikiwi kila wakati maana yanaonekana yamekaa kisiasa kuliko kukaa kitaifa.
Kwanini kusiwe na maandamano yanayoanzishwa na wananchi wenyewe kwa kupitia mashirika ya umma au mashirika binafsi au makundi ya wananchi wenyewe kwanini tunafungamana na vyama vya siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…