Wananchi tukiendekeza hisia mbele kuliko logic wanasiasa watatuingiza matatizoni miaka michache ijayo mbeleni.
Katiba mpya maandamano.
tume huru ya uchaguzi maandamano.
Kodi kubwa na ushuru mkubwa maandamano.
Kutekwa kwa watu maandamano.
Everything kwenye hii nchi kinashinikizwa kitafutiwe suluhu kwa maandamano why maandamano?
Tujifunze kwa kupitia mifano ya nchi jirani zinazopitia hali ngumu kisa maandamano na jinsi yanavyoathiri amani na uchumi wa nchi zao.
Sidhani kama tumekosa haki ya kuhoji na kutatuliwa shida zetu kiasi cha kutufanya tuingie kwenye maandamano ya namna hii, ingali changamoto zipo kweli katika mfumo wa utawala hapa nchini.