Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
🀣
Mimi ndio Muoga kweli kweli. Nishapigwa mabomu ya machozi, maji ya kuwashawasha, nikakoswakoswa na risasi. Nikaamua kuwa muoga 🀣🀣🀣.


Mimi ni Muoga sana, wewe je?
Aaaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mie ata kusogea sitaki kujua kinachoongelewa maana mda wowote lamghambo linaweza kulia Ebu ona kama hii ya magomeni mpk mtu anaepita na mmbo yake anaitwa mwandamanaji hii sio sawa lkn serikali hii
 
Mbowe na mwanawe wamesindikizwa kistaarabu bila makofi.
 
Duniani kote kuna lugha maalumu ambayo huwa inatumika katika kuzungumza Kati ya Wananchi na Watawala wao ambao ni Madikteta. Wananchi wakati wanapozungumza kwa kutumia lugha hiyo maalumu, watawala wao huwa wanaelewa haraka Sana na mara moja huwa wanafikia muafaka mzuri Sana kati yao.
 
"Njia pekee ambayo Wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na Watawala wao ambao ni madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa kupitia mtutu wa bunduki."

Jeff's O'Brien.
 
kulinda serikali kuhofia kupinduliwa na wanajeshi maana mapinduzi ya kijeshi ndiyo yanayomtoa Rais madarakani lakini maandamano ya wananchi yanampa nafasi Rais ama kujiuzulu au kukubaliana na matakwa yao na sio matakwa ya Majeshi.
Juzi juzi tu hapo Bangladesh juhudi za wananchi zilimwondoa waziri mkuu madarakani bila ya ushiriki wa jeshi (nadhani); ingawaje huenda waliamua tu kukaa pembeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…