KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Ni Mara nyingine ya 'legacy' ya awamu tano imesaidia kuzima maandaano ya CHADEMA yaliyopangwa kufanyika siku ya leo.
Hapa naizungumzia ile legacy ya kupiga marufuku pombe Kali aina ya viroba ambayo iliwafanya watumiaji wa pombe ambao wengi wao ni vijana kuwa watukutu pindi wanapotumia.
Miaka Sasa bila uwepo was viroba mitaani na faida nyingi zimeonekana na zinaonekana na mojawapo ni ya kuzimika kwa maandaano siku ya leo.
Laiti Kama kusingekuwa na marufuku wa viroba Leo vijana hao wangekuwa maandamanoni lakini kutokana na marufuku hiyo vijana wamepotezea maandama hayo kwa kushiriki katika shughuli zao za kiuchumi za kila siku.
Ni mtazamo wa mlinda na mtetea 'legasi'