Duniani kote nchi za kidemokrasia zinazoongozwa na raia, jeshi kamwe halishiki kuua raia. Hata hapo Uganda hua Jeshi halitumii risasi kuua raia . Polisi ndio wanaozuia maandamano na wakishindwa basi jeshi kinaingilia kati kunusuru mauaji makubwa sana polisi wakishindwa wanageuziwa kibao kupigwa na kujeruhiwa na wengine kuuawa na waandamanaji.
Hata Tanzania JWTZ hua wanafagia tu lakini kamwe hawawezi kushika silaha na kuua wananchi. Jeshi la hovyo kama kule Kongo,Rwanda ,Burundi n.k walipowapiga wananchi na kuwaua ndipo uasi ulipotokea na mauaji ya halaiki ambapo serikali inapinduliwa maana wananchi wanaweza wakaungana na Brigade moja tu na kuisapoti kupambana na jeshi la serikali mpaka nchi ikagawanyika au kupinduliwa.