Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata CCM wanamuomba Mungu,
Humuoni Mwamposa na Makonda wanahubiri na kuomba pamoja??
 
Mungu huwa anaingilia mambo ya siasa?
 
Wewe bakia kuimba sifa za Samia tuu huwezi kufikirika lingine lolote.
We endelea kuimba ujinga wa
" nani kama Samia.
piga makofi kwa Samia .
Samia ametowa Hela(sijui yake) kujenga hili na lile" na upuuzi mwingine.
Sawa we unaewaza mambo ya msing hayo ya samia must go uliandamana wapi? Mtakuja kupata akili mshachelewa
 
Na unacho kisema hapa, kama ninakuelewa vizuri, ni kuwa, huo "utawala wa kiraia" unaweza kufanya kila aina ya uchafu ndani ya nchi wanayo iongoza, ikiwa ni pamoja na kuua raia wa nchi hiyo na hilo jeshi "chombo tofauti" kibaki tu kinaangalia hayo yote yakitokea bila ya kujishughulisha na kutaka kuyazuia. Jeshi la namna hiyo sijui lina faida zipi hasa kwa wananchi hao.

Lakini bila shaka, ingawaje bado wewe hujasema, tofauti na mwenzio, mkuu '1000 Digits' alivyo eleza; wananchi hao wanao onewa na watawala wao wakijitutumua kutafuta njia za kutaka kujinasua na uovu huo, jeshi hilo lenye nidhamu litaingilia kuwanusuru watawala hao, au siyo!

Hii dunia yetu ni ya kipekee sana.
Kalamu unadhani Jeshi linapaswa kufanya nini na kwa namna gani?
 
Hili ni swali nisilo taka kulijibu sasa hivi. Ila itanishangaza sana kama chombo cha usalama wa nchi kama jeshi litakuwa lipo tu bila hata kushtuka wakati "usalama" huo wa nchi ukiwa haupo. Hili nitakuwa silielewi hata kidogo.
 
Kalamu hoja yako ina mantiki sana ila hali ya kisiasa nchini inaweza kubadilishwa na wananchi wenyewe watakapokuwa tayari. Ni uongo mkubwa sana kusema Tanzania kuna demokrasia. Ni uongo kabisa. Hakuna dsmokrasia, usalama wala haki. Watu wanaoishi kwa hofu huwezi kusema wana amani na wako salama.
 
Tujadili, maana sidhani kama Chauma wakiandamana kwa masharti yoyote yale kushinikiza serikali ita deploy jeshi kuwadhibiti?
Why Chadema?
 
.
 
Attachments

  • FB_IMG_1727158232732.jpg
    FB_IMG_1727158232732.jpg
    48 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1727158226330.jpg
    FB_IMG_1727158226330.jpg
    48.9 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1727145615769.jpg
    FB_IMG_1727145615769.jpg
    88.5 KB · Views: 1
Kiongozi wa juu wa jumuiya ya wazazi CCM alipokuwa Channel 10 akifanya mahojiano amedai pigo waliopigwa Chadema inawezekana ikachukua mpaka miaka 25 kurecover.
"Nimewaona Mbowe, Lema na wengine wachache wakifanya mahojiano leo, kwa kweli walikuwa wameishiwa nguvu, walikuwa wamepoteza muelekeo, mentally, emotionally na psychologically
Wamekosa imani na wanachama wao,wamekosa imani na Bavicha, kwa sasa hivi mwenyekiti Mbowe mtu pekee anayemuamini ni mwanae Nicole na mkewe"
Ally Hapi ameshangaa hata kwanini Chadema huwa wanalalamika kuwa huwa wanaibiwa kura.
 
Ally hapi una matatizo kichwani
 
Kudesa kuna raha yake jamani
 
Back
Top Bottom