sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
" Leo lazima damu imwagike tumechoka na utawala wa mkoloni mweusi samia must go"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiwa ilala bomaUnatia aibu ukiwa wapi?
Sure 100%Ni strategy tu
Kila Kitu kilipangwa bwashee 😂
Umesema?Murilo mbwakoko
Kenya maaskari walikuwepo, watu sio waoga na watu waliandamamaKwa nchi ambayo maandamano ya amani tu unakutana na kundi la askari na defender yao na mitutu ya bunduki, imagine hayo ni maandamano ya amani tu lakini polisi wamejitanda njiani kama siafu, ni ngumu kwa mwananchi asiye na silaha kujitokeza kuandamana.
Na pia hata kama haendi mstari wa mbele lakini huwa hasemi kuwa atakuwepo kama alivyosema Mbowe ambaye mwishowe haonekani.We ulisha wahi kuona wapi commander wa kikosi anaka frontline?
🤣View attachment 3103980
" Leo lazima damu imwagike tumechoka na utawala wa mkoloni mweusi samia must go"
Ukifika wakati sahihi watu wataandamana tu, nakuhakikishia maandamano yatakuwa makubwa na yenye mafanikio kuliko unavyodhani.Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
Hata hao askari wenyewe ni waoga tu. Kama wasingekuwa waoga wangekataa kutumika na ccm. Au wangekaza/wangekataa kukubali maagizo toka juu.
Bado hakijatokea kizazi ambacho kipo tayari kupigwa, kufungwa, kufa juu ya masuala ya kisiasa.
Hakuna vijana wa kufatilia au kutaka kuhusika na masuala ya aina hiyo.
Vijana wako bize na mipira, miziki, mitandao,mikeka ya kubeti, minguvu ya kiume, mapenzi, kukata mauno, matamasha, tamthilia na misambwanda
Narudia tena
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
Yaan mbeya wala mbatata watoke rodiMbeya kimeumana
Hadi huku buzaHuku gongo la mboto Kuna foleni ya kutosha
Huo wakati labda kije kizazi cha 2010 au 2020.Uki
Ukifika wakati sahihi watu wataandamana tu, nakuhakikishia maandamano yatakuwa makubwa na yenye mafanikio kuliko unavyodhani.
Ni ngumu chama cha siasa kuanzisha maandamano na yakafanikiwa.
Wanasiasa hawajawahi kuwa upande wa wananchi, hawaaminiki
Tupia kapicha basi.Au kavaa dera.Yupo mkuu sema yeye ndiyo target kwahiyo anaenda kitahadhali,