blessed chiqqah
Senior Member
- May 19, 2024
- 105
- 291
kwahiyo muda huu mko wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My Take
Aliyetangaza Maandamano kakimbilia Arusha 😂😂
View: https://x.com/Jambotv_/status/1838111467574296603?t=Z5PAmlTw66szo0RR4X_Zwg&s=19
Kufanikiwa kwa vurugu ni mtaji wa pesa ndefu wa Mbowe na wenzake kutoka kwa taasisi za kidemokrasia za Ulaya na Marekani.Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji nyara, kupotea kwa watu na mauajo ya raia. Wananchi wamelinyooshea kidole jeshi la polisi kutokana na mazingira ya upoteaji wa watu. Watu wengi wameripotiwa kupotea baada ya kuitwa vituo vya polisi.
======
Siku ya waliyosema chadema kufanya maanadamano kwaajili ya kupinga utekaji na watu kuuliwa na watu wasiyojulikana imefika,
Tangazo hili lilitolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Septemba 11, 2024, ambapo alisema wataingia barabarani endapo wanachama wao waliopotea hawatarudisha na kama serikali haitawajibika ikiwa ni pamoja na kujiuzulu kwa viongozi husika.
Ratiba ya maandamano ilitolewa Jumamosi tar 21 Septemba 2024 baada ya kuwa serikali haijatekeleza takwa lolote kati ya yale yaliyotolewa na CHADEMA kuhakikisha kuna uwajibikaji.
Fuatilia uzi huu kwa matukio ya moja kwa moja kwa siku ya leo na yatakayojiri kwenye maandamano hayo.
=======UPDATES======
View attachment 3103938
Magomeni muda huu. Naelekea katikati ya mji nifike Mnazi Mmoja
Asubuhi imeanza kwa taarifa ya Lissu kuzingirwa na polisi na kutakiwa kwenda kuripoti katika ofisi ya RCO Kinondoni, ambapo amekubali kwenda kuitikia wito.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameeleza kupitia mitandao ya kijamii kuwa tangu jana usiku mpaka asubuhi ya leo Septemba 23, 2024 Jeshi la Polisi limefunga barabara zote zinazoelelea nyumbani kwa mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe.
Chama hicho kimeeleza kuwa watumiaji wote wa barabara hiyo wanasimamishwa na kukaguliwa, wakiulizwa kama wanaenda kwenye maandamano.
CHADEMA wameripoti kuwa mapema leo Jeshi la Polisi wameingia nyumbani kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara kisha kuondoka nae bila kusema wanampeleka wapi.
CHADEMA imeripoti kuwa Jeshi la Polisi limemzuia Dr. Lilian Mtei, Mke wa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe akiwa anatoka nyumbani kwake Mikocheni, Dar es salaam.
Kapige kura siku ya uchaguzi hakuna atakayekuletea demokrasia nyumbani kwako.Utawala wa sheria sio Hisani ya ccm wala Samia, ni haki yetu. Wenye nchi ni wananchi . Tunataka nchi yetu ,tunataka uhuru wa kweli. .
i was thinking the sameKama alilala nyumbani kwake kuamkia siku ya maandamano kafeli sana.
Tukiandama hiyo hali ngumu inaisha? Nnihakikishie hilo niingie mtaani!!!Hakuna cha chadema wala nini, hali ngumu mtaani inatutesa watanzania wote.
Tuseme ukweli tu 🤣
Sisi watanzania ni waoga mno, hata mimi ni muoga.
Mimi ni Muoga, wewe je?
Kiongozi wao mkuu ni Mbowe, mjanja anayejua kula na vipofu.Ukiwasikia chadema mitandaoni utadhani wako serious
🤣🤣🤣🤣Kuna mtu kakomenti Twitter kuwa gharama iliyotumika ni 77B
Ila tuacheni blabla
Sisi watanzania ni waoga mno, hata mimi ni muoga sana 🤣
😂😂😂😂😂 Nchi nzima ya wapi? 😁😁Kwani maandamano ni ya Dar peke yake? Maandamano ni ya nchi nzima, mwamba kaenda kupindua meza Arusha huko.
Mimi sio muoga.🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna cha kuupiga mwingi wala nini!
Tuseme ukweli tu 🤣
Sisi watanzania ni waoga mno, hata mimi ni muoga.
Mimi ni Muoga, wewe je?
Labda waandamane kwenda keko lockup. 🚶🚶🚶Wakiandamana niite mbwa
Atakuwa alimbana mkia 🤣🤣Kuna clip nmeona mbwa kamngata polisi ndani gari
😄
Ova